Vaa viatu vya waziri mkuu mstaafu John Male bela

accused

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,506
2,000
Ndani ya mwaka mmoja tu Mzee kapigwa za uso mbili na mkuu. Alianza kupokea kipigo baada ya mama /mkewe mpendwa kupigwa chini huko shy town. Juzi kati bintie kapigwa chini kwa kile kilichoonekana ni kuichafua kaya ya mkuu.

Sasa tujiulize,ni Bahati mbaya tu inawatokea familia hii ya mkuu mstaafu au kwa wale wakongwe wa siasa za nchi hii watujuze kama Kuna bifu lolote baina ya mkuu na mkuu huyu mstaafu wa enzi ya mwalimu.

Wapi Lemtuzzz....

"Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne chawanichukizao"

Mimi siyo mchochezi ,nimeota tu kwa sauti Japo siyo kama Lema
 

bibiinna

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
652
500
Jamani kwani ni lazima wao na vizazi vyao ndiyo washike nafasi ktk serikali hii....!!!!Hata angepigwa tano za uso ni sawa tu.Mbona tulizopigwa sisi za uso ni UNCOUNTABLE........
go Mr.President..go Mr.President.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom