V Money afanya interview akiwa high,asema Jux alikuwa kisela

Jacky Cliffod wil be out soon mama

Sent using Jamii Forums mobile app
V ni levels za kimataifa.. hao unaowasema wewe, hapa bongo wapo wengi sana tu. Juz awatokee tu.
Amna kitu pale...Brother man kama Jux inabidi awe na demu mkali yule mjivika mawigi kama Kinyago cha maonyesho
Hakuna ke anayejielewa anayetaka ku date brother man wa show offs. V ni levels za kimataifa.. hao unaowasema wewe, hapa bongo wapo wengi sana tu, Juz awatokee watu kama kina kina Amber Lulu, Tunda et al. ila V siyo levels zake tena. Trust me, atajuta sana kumpoteza.
 
High on Cocaine or meth? Naona huko kukisa utulivu ni kama vile mtu anaetumia hizo mamboz ivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom