Uzushi na ukweli kuhusu kunguni

Asee Kunguni ni hatari na nusu
Enzi hizo nipo O level walikua wanatusumbua vibaya sana ,kwanza kunguni akipita ktk godoro asubuhi wewe ukija ukilala usiku basi utawashwa.Bora mbu 4000 kuliko kunguni wawili
 
Kunguni bana achana nao kunguni kama humjui atakusumbua alafu wale wadogo ndo wanang'ata kishenzi, wakiamua hulalai hulali kweli hakuna cha usafi wala uchafu kunguni wakikuamulia wanakufanyia kitu mbaya ila maeneo ya barid sijabahatika kuwakuta
 
Dawa ya kienyeji ya kunguni, hakikisha chumba kimesakafiwa vizuri kisiwe na matobo,mwanga wa kutosha, mwagia maji ya moto chumba kizima kama kuna kunguni
 
Kunguni bana achana nao kunguni kama humjui atakusumbua alafu wale wadogo ndo wanang'ata kishenzi, wakiamua hulalai hulali kweli hakuna cha usafi wala uchafu kunguni wakikuamulia wanakufanyia kitu mbaya ila maeneo ya barid sijabahatika kuwakuta
Kunguni hapatani na baridi
 
Back
Top Bottom