Uzushi kuwa Kamuzu Banda alikuwa Daktari wa Malkia Elizabeth ulienezwa na nani?

Mpaka nikaanza kuwaza, pengine sijaelewa mada iliyoko mezani.
Shukrani imhotep kwa ufafanuzi.
Pia nilichogundua, wengi wa watoto hawa wa sikuhizi hawajui Hastings President Omuyaya.
Wana utoto mwingi sana japo miongoni mwao wamo na watu wazima lakini akili zao ziko Ubeligiji
 
Hawa vijana hawajui vitu vingi.
Nyerere mwenyewe hawamuelewi vizuri.
😀😆😁
Tatizo nafikiri ni mfumo wetu elimu labda, mbona sisi tulikuwa tunamjua Kinjekitile Ngwale utasema tulikuwa naye kwenye vita vya MajiMaji
 
Kuna uzushi mwingi Sanam hata huyo kamuzu unaemsemea sio kamuzu halisi
Waingereza walituletea kamuzu fake
 
Haya turudi kwenye mada sasa, kwa unavyoelewa wewe je; ni kweli Kamuzu alihasiwa ili asimgegede na hatimae kumpa mimba Malkia?
Inasemekana alihasiwa (sababu sijui)
Lakin hakuwahi kuwa na familia
NA alipendelea Sana kuona wananawake wakicheza Ngoma (ndolo) yaani wakikata mauno yeye kwake burudaaaaaniii
 
Ulienezwa na yule yule aliyedai kwamba Carlos ni:

- Real life villain.

- Anavaa viatu vilivyodizainiwa mbele nyuma hivyo ukiangalia alama ya kiatu unaona alitoka kumbe ni aliingia.

- Kwamba Carlos alikua ana uwezo wa kusimama mbele yako na usimuone.

- Kwamba Carlos kwa kutumia dizaini ya hivyo viatu na uwezo wa kufichama aliwahi kumbaka malkia wa uingereza.
 
Mayunga alikua anageuka mti mkavu kwny vita vya Kagera.

Gaidi carlos alikua anapita kwny bomba la maji machafu anatokea bafuni kwa queen elizabeth akiwa anaoga anapiga nae story baadae anasema kimya kimya.

Bongo kwa mapicha picha ni noma sana,No wonder tuliambiwa Idd Amin anakula nyama za watu.
hiyo ya Carlos umenikumbusha mbali Sana hivi wabongo tuna akili timamu kweli !?
 
Ulienezwa na yule yule aliyedai kwamba Carlos ni:

- Real life villain.

- Anavaa viatu vilivyodizainiwa mbele nyuma hivyo ukiangalia alama ya kiatu unaona alitoka kumbe ni aliingia.

- Kwamba Carlos alikua ana uwezo wa kusimama mbele yako na usimuone.

- Kwamba Carlos kwa kutumia dizaini ya hivyo viatu na uwezo wa kufichama aliwahi kumbaka malkia wa uingereza.
 
Ulienezwa na yule yule aliyedai kwamba Carlos ni:

- Real life villain.

- Anavaa viatu vilivyodizainiwa mbele nyuma hivyo ukiangalia alama ya kiatu unaona alitoka kumbe ni aliingia.

- Kwamba Carlos alikua ana uwezo wa kusimama mbele yako na usimuone.

- Kwamba Carlos kwa kutumia dizaini ya hivyo viatu na uwezo wa kufichama aliwahi kumbaka malkia wa uingereza.

Akipita sehemu iliyosakafiwa je, alama zitaonekanaje?

Hiyo kwa masai inawezekana kutokana na mazingira.
 
Ni kama tulivyo karirishwa kwamba Eti Marehemu Kambona ameolewa huko Ulaya au kusema Idd Amini anakula nyama za watu zilikuwa ni zama za uzandiki tu
 
Back
Top Bottom