Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
- Thread starter
- #21
wewe akili yako haina akili ni rahisi kumlaumu mtu masikini huku ukija na kuondoka kurudi huko kwenye nchi ambazo si wewe wala baba yako aliyesaidia kuzijenga (mwizi!) kama unafikiri ni rahisi hivyo si ubakie utoe suluhisho sio kuja na kuondoka na kuanza kuwahukumu watu ambao haujui wanakula nini na wanalala wapi **** wee!
Kijakazi,
Wanitukania nini wakati ni nyie wenyewe mlidai sisi wabeba maboksi hatujui reality? Nimeiona reality na reality ni kuwa Watanzania wengi ni mafisadi, wengi hawajitumi na wengi ni wavivu wa kufikiri na kufanya kazi.
Katika watu milioni 40, tunategemea kubebwa na 20% ambao ndio wanachacharika.
Hata hayo ya kudai 80% ni wakulima ni namba tuu, lakini ufanisi hakuna.
Kila mmoa ana misababu kibao eti kwa nii halimi au hana mazao ya kutosha!