Uzuri wa watu wa MMU hawana habari na Msando, Masha wala Magufuli, nimekuja kupumzika huku

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Nimekuja vacation huku, nyie watu wa MMU naona hamsumbuliwi na lolote...haijalishi Magu kamtumbua nani, haijalishi Albert Msando kachezea nyeti za Gigi Money au kahama ACT- Wazalendo...na wala haziwasumbui vurugu za Bashite anazowafanyia Clouds...wala haiwasumbui Mugabe kujiuzulu!

Aisee MMU nyinyi ni watu poa sana...HESHIMA KWENU NYOTE, nimekuja kupumzisha kichwa!
 
Nimekuja vacation huku, uzuri nyie watu wa MMU naona hamsumbuliwi na lolote...haijalishi Magu kamtumbua nani, haijalishi Albert Msando kachezea nyeti za Gigi Money au kahama ACT- Wazalendo...na wala haziwasumbui vurugu za Bashite anazowafanyia Clouds...wala haiwasumbui Mugabe kujiuzulu!

HESHIMA KWENU NYOTE!
Pole sana mkuu.

Mimi sichagui majukwaa aisee.

Yaani kila uzi ukija mbele yangu naachia neno tu.
 
Back
Top Bottom