Uzuri wa mji wa Harare, Dar cha mtoto

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
Aisee asikwambie mtu uyu mzee wa miaka zaidi ya 90 Mugabe katengeneza mji mkuu wa nchi yake.

Yaani tofauti kati Harare na Dar ni mbingu na ardhi.Sikutegemea tofauti kubwa hivi.

Tofauti ya Harare na Dar, ni sawa natofauti ya Dar na Singida.

Awali nilidhani miji mikuu hapa Afrika haipishani sana,kumbe khali ni tofauti.

Sasa nimeanza kumuelewa JPM kwanini anaipa kipaumbele sana Dar.
 
Aisee asikwambie mtu uyu mzee wa miaka zaidi ya 90 mugabe katengeneza mji mkuu wa nchi yake.
Yaani tofauti kati harare na dar ni mbingu na ardhi.sikutegemea tofauti kubwa hivi.
Tofauti ya harare na dar, ni sawa natofauti ya dar na singida,.
Awali nilidhani miji mikuu APA afrika haipishani sana ,kumbe khali ni tofauti.
Sasa nimeanza kumuelewa JPM kwa nini anaipa kipaumbele sana dar.
HAPANA MJI ULITENGENEZWA NA WAZUNGU. MUGABE HAKUTENGENEZA BARABARA PANA NILIZIONA KULE MFANO MMOJA HUO!
 
Aisee asikwambie mtu uyu mzee wa miaka zaidi ya 90 Mugabe katengeneza mji mkuu wa nchi yake.

Yaani tofauti kati Harare na Dar ni mbingu na ardhi.Sikutegemea tofauti kubwa hivi.

Tofauti ya Harare na Dar, ni sawa natofauti ya Dar na Singida.

Awali nilidhani miji mikuu hapa Afrika haipishani sana,kumbe khali ni tofauti.

Sasa nimeanza kumuelewa JPM kwanini anaipa kipaumbele sana Dar.
Mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma na sio Dar, Rais Inabidi ajenge Dodoma na Serikali ihamie Dodoma kabisa.
 
yaani mini kama mwanza,arusha,mbeya tupilia mbali kabisa
 
Harare ilijengwa na Waingereza ( IAN SMITH na waliomtangulia) wakati wa ukoloni ikijulikana kama Southern Rhodesia, na Harare ya sasa hivi ilikuwa ikiitwa SALSBURY. Mugabe mtafutie sifa nyingine. Ni kama Maputo ilivyojengwa kinoma na Wareno.
 
Tanzania hakuna mji mzuri miji yote ni vibanda tupu.....mipango miji wa kwetu sijui kazi yao ni nini..?!!...hata ile tunaita majiji ni uchafu tu...nenda Dar hadi ikulu kunanuka...Mwanza hakuna kitu wamejaa washamba tu na jiji liko hovyo...Nenda Arusha uchafu na vibanda tupu Ongezea na ushamba wa watu wa kule ndio basi tena hamna kitu....Nenda Mbeya ujinga ujinga tu.....Mipango miji wa Tanzania mibadilike mnatuaibisha sana
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Idara ya mipango miji nadhani inatakiwa ifumuliwe kabisa, maana imejaaa watu wazembe na wanafiki kazi zao kuuza viwanja mara mbili mbili na kuwazawadia madiwani na wabunge pamoja na viongozi viwanja vya bure.
 
ddba11e1a417c433887e332a07199e3c.jpg

55a07c57382bfe2d8b693b276159a7bb.jpg

3b221eedc88c3756ab1cfdced9a92b45.jpg

14f87682b3cf7a1834cf3d53649e6c99.jpg

5594fb5cd9640d5a4ae7652a8fd0bc4b.jpg

Hivi Dar unaijua kweli? Hiyo Ndio Harare hapo juu
 
Kwa Tanzania mji mkuu au makao makuu (theoretically) ni Dodoma. Lakini kiuhalisia mji mkuu kwa maana ya largest city na pia makao makuu ( kwenye makazi ya viongozi wakuu karibu wote wa serikali na wanadiplomasia waandamizi kutoka mataifa ya nje na pia kuliko na ofisi nyingi za serikali na za kidiplomasia ni Dar es Salaam.
 
Harare ilijengwa na Waingereza ( IAN SMITH na waliomtangulia) wakati wa ukoloni ikijulikana kama Southern Rhodesia, na Harare ya sasa hivi ilikuwa ikiitwa SALSBURY. Mugabe mtafutie sifa nyingine. Ni kama Maputo ilivyojengwa kinoma na Wareno.
ila kuna structures za miaka ya hivi karibuni za hatari
 
Aisee asikwambie mtu uyu mzee wa miaka zaidi ya 90 Mugabe katengeneza mji mkuu wa nchi yake.

Yaani tofauti kati Harare na Dar ni mbingu na ardhi.Sikutegemea tofauti kubwa hivi.

Tofauti ya Harare na Dar, ni sawa natofauti ya Dar na Singida.

Awali nilidhani miji mikuu hapa Afrika haipishani sana,kumbe khali ni tofauti.

Sasa nimeanza kumuelewa JPM kwanini anaipa kipaumbele sana Dar.
Hakuna kitu kabisaaaa harare cha mtoto, Moro labda kama kweli weka picha
 
Back
Top Bottom