Uzuri wa kitimoto dhidi ya nyama zingine

financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,976
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,976 2,000
Mkuu kitimoto stek tupu haina ile radha ya kitimoto halisi, uhalisia upo kwenye ile ngozi na mafuta.
Ni kweli ila Mimi mafuta sipendi sana huwa naweka pembeni, vipi ushapata sasa ama ulipitiliza home
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
12,001
Points
2,000
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
12,001 2,000
Ni kweli ila Mimi mafuta sipendi sana huwa naweka pembeni, vipi ushapata sasa ama ulipitiliza home
Nilifika home nlikuwa nmechoka aiseee, nikaenda kupumzika kitandani, usingizi ukakataa kuja ikabidi niende kanisa kwenye maombi nikasalimie na wapendwa.

Nadhani mpaka Ijumaa tena hiyo maana kesho muda sidhaniiii. We mara ya mwisho ni lini?
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,976
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,976 2,000
Nilifika home nlikuwa nmechoka aiseee, nikaenda kupumzika kitandani, usingizi ukakataa kuja ikabidi niende kanisa kwenye maombi nikasalimie na wapendwa.

Nadhani mpaka Ijumaa tena hiyo maana kesho muda sidhaniiii. We mara ya mwisho ni lini?
OK vizuri, Mimi sijapata mda mrefu aisee
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,976
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,976 2,000
Unapendaga ipi? Rosti, ya kuchoma au kukaangwa?
Napenda choma, ama iliyokaangwa rosti siipendi sanaa, ila natumia pia ,morning lakini! Habari ya kazi?
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,976
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,976 2,000
Sasa nkishakuoa utaendelea kupokea mialiko ya kitimoto ama itakua imetosha
Hapo sasaa ,ntajitahidi kutulia ila akitokea mwenye offer za kila siku utanisamehe tu huyoo,usifanye masikhara na Kitimoto mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,792
Top