Uzuri wa kitimoto dhidi ya nyama zingine

Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,367
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,367 2,000
Warumi 14:2,14
[2]Mtu mmoja anayo imani, anakula vyote; lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.
[14]Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
Mkuu usibishane na wapumbavu Biblia imetukataza kubishana nao.
Si tugonge tu nyama yete taaaamu roho huwa zinawauma sana nimefuga barabarani njia ya kutoka mskitini hahaha hawana hamu na mimi
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
4,729
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
4,729 2,000
Utamu wake haupimiki sio wa sukari wala ladha ya pipi/

Kula baga kula piza, mi nakula pigi/
Kwenye sahani ikijazwa, mixa na pilipili/

Ukimuona mtaani usimtupie jiwe, kuna mda thamani yake inakuzidi hadi wewe/

Sio wavaa madera tu mpaka wavaa makoti wanakula huyu mfugo, ukitaka kushuhudia hilo utaona siku ya mfungo/

Huyu mnyama kiukweli ni mtamu, na kama ni madini nampa hadhi ya platinamu/

Kuna siri moja hujaifahamu, wanasema kizuri kula na mwenzako ili naye akate hamu/

Mnyama mpole kama nguruwe anakuaje haramu?, ushawahi jiulize kama kweli ni haramu kwanini awe mtamu?/
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
14,129
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
14,129 2,000
Utamu wake haupimiki sio wa sukari wala ladha ya pipi/

Kula baga kula piza, mi nakula pigi/
Kwenye sahani ikijazwa, mixa na pilipili/

Ukimuona mtaani usimtupie jiwe, kuna mda thamani yake inakuzidi hadi wewe/

Sio wavaa madera tu mpaka wavaa makoti wanakula huyu mfugo, ukitaka kushuhudia hilo utaona siku ya mfungo/

Huyu mnyama kiukweli ni mtamu, na kama ni madini nampa hadi ya platinamu/

Kuna siri moja hujaifahamu, wanasema kizuri kula na mwenzako ili naye akate hamu/

Mnyama mpole kama nguruwe anakuaje haramu?, ushawahi jiulize kama kweli ni haramu kwanini awe mtamu?/
Kwa Vina hizi zilizoenda shule, naamimi huyu Mnyama thamani yake kubwa mnoo.
 
M

mathew2

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Messages
605
Points
250
M

mathew2

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2009
605 250
Asalaam Aleikum

Salaam ziwafikie, ama baada ya salaam mimi ni bukheri wa afya.

Leo ninapenda kuandika kwa ufupi umuhimu wa kutumia nyama ya nguruwe maarufu kama Kitimoto. Faida za kutumia kama kitoweo nyama hii ni nyingi sana kama ifuatavyo:-

1) Kwanza Kitimoto ni tamu sana:

Ladha ya Kitimoto ni nzuri sana na humfurahisha kila alaye. Ni tamu kwangu, kwako na kwa yule. Mfano wake walingana ama la wauzidi nyama ya Kuku.

2) Kitimoto ni nyama salama isiyo na Cholestral:

Nyama ya nguruwe ni white meat isiyo na vimelea vya kuleta magonjwa tofauti na nyama ya Ng'ombe, Mbuzi au Kondoo n.k
Ni kama ilivyo samaki na Kuku.

3) Kitimoto inakupatia ULINZI:

Unaweza kujiuliza ni ulinzi kwa vipi? Unajua kuwa walaji wa Kitimoto wengi hawalogeki?

Fanya hivi: chukua mafuta mabichi ya Kitimoto kisha paka kidogo tu katikati ya nyayo za miguu pale palaini kisha ingia katika nyumba yoyote ya mchawi, mfuga majini au mganga wa kienyeji ama kwa yeyote anayetaka kukuroga. Hakika hataweza.

AMA, chukua mfupa wa nguruwe wowote ulioungua kwa kuchomwa au kupikwa kisha uing'inize juu ya paa au mlango wa kuingilia nyumba unayoishi bila hata kunuia chochote. Hakika hakuna kigaragosi wa kichawi au jini atakayekusumbua.

Hongera nyingi ziwaendee ndugu Waislam ambao yamkini wamegundua umuhimu wa nyama hii na kuanza kutumia kwa faida na usalama wao na familia zao, hasa wa mtaa wa Mbagala Zakhem, chamanzi, Kariakoo mwisho na Buguruni pia.


Wabillah Tawfiq
Usamehewe kwasababu hujui unachokifanya. Hiyo nyama kama ni tamu haiongezeki utamu kwa kuisifia humu na naamini lengo lako kwa hiyo ni kukwaza baadhi ya watu (mie si mmoja wa watakaokwazikaa0
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
12,001
Points
2,000
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
12,001 2,000
Sanaaa, ni moja kati ya nyama ambazo niko tayari nikose damu ila nipate kitimoto (joke bana) ila naipendaa
Daaah, ndo natoka MUHIMBILI hapa, umenifanya nitamani nikanunue, mimi spendi nyama ya kitimoto iwe nyama tu, napenda iwe na futa, ikiwa na ngozi ndo nafurahi zaidi.
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,979
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,979 2,000
Daaah, ndo natoka MUHIMBILI hapa, umenifanya nitamani nikanunue, mimi spendi nyama ya kitimoto iwe nyama tu, napenda iwe na futa, ikiwa na ngozi ndo nafurahi zaidi.
Hahahaa, Mimi yenye futa na ngozi hapana, iwe steki steki hivi dooh, naolewa hata bila mahari ,kanunue bana uenjoy
 

Forum statistics

Threads 1,334,520
Members 512,012
Posts 32,478,950
Top