Uzuri wa kitimoto dhidi ya nyama zingine

nivlac

nivlac

New Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
3
Points
45
nivlac

nivlac

New Member
Joined Sep 1, 2015
3 45
Ninachoomba Mungu ni hawa jamaa waendelee kutokula hii kitu maana wakianza kula bei yake haitashikika. Na anaweza kuwa list ya indangered species.
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,979
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,979 2,000
Mkuu, wewe haukinai kitimoto?
Hahaa, for sure sijawahi kula mfululizo hivo,ila nahisi naweza na nisikinai,isiwe tu na mafuta na ngozi ,napiga tu bila kuangaliaaa
 
jogoo wa maajabu

jogoo wa maajabu

Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
46
Points
125
jogoo wa maajabu

jogoo wa maajabu

Member
Joined Mar 4, 2018
46 125
huyu mdudu hatari Sana sema watu wanampiga majungu Sana ila ingekuwa amri yangu kila mtu angekuwa anatumia hata "robo kilo losti" wakati wa ktk mifungo yoteeee
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,979
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,979 2,000
Hahaha yaani wewe ndo haufaidi radha ya kitimoto, kitimoto ni yale mafuta pamoja ngozi, bado mkuu haifaidi hii kitu.
Duh ila nafaidi bana,ngoja ntakua natupia na mafuta basi nione huo ufaidi zaidi ,
 

Forum statistics

Threads 1,334,527
Members 512,012
Posts 32,479,171
Top