Arselona
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 643
- 153
Wa2 wengi wamejitolea muda wao mwingi kuandika makala anuai kuhusu TING vs STARTIMES.Wa2 hao nawapongeza na kuwashukuru sana kwani maandishi yao yamenifanya na mimi ninunue decoder tajwa hapo juu.Concern yangu leo ni kuwashirikisha mazuri ya decoder hiyo.Kwa kuanza decoder hiyo inaweza kutumika popote AFRIKA kwani unapata mawimbi kupitia ungo[satellite dish].Aidha ina option ya kuongeza satellite nyingine ambazo mmiliki angependa kutazama.Mf:binafsi nimeongeza satellites kama Intelsat7/10, Intelsat906 ambayo unapata TBC1 CH10 ITV EATV CAPITAL and many more.Kwa atakaye kuwa interested na thread hii nitashirikiana naye kumtrain jinsi ya kuposition dish la ting na mengine mengi.Naomba kuwasilisha.