Uzuri wa digital satellite receiver aal-oo3 ya ting

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
643
153
Wa2 wengi wamejitolea muda wao mwingi kuandika makala anuai kuhusu TING vs STARTIMES.Wa2 hao nawapongeza na kuwashukuru sana kwani maandishi yao yamenifanya na mimi ninunue decoder tajwa hapo juu.Concern yangu leo ni kuwashirikisha mazuri ya decoder hiyo.Kwa kuanza decoder hiyo inaweza kutumika popote AFRIKA kwani unapata mawimbi kupitia ungo[satellite dish].Aidha ina option ya kuongeza satellite nyingine ambazo mmiliki angependa kutazama.Mf:binafsi nimeongeza satellites kama Intelsat7/10, Intelsat906 ambayo unapata TBC1 CH10 ITV EATV CAPITAL and many more.Kwa atakaye kuwa interested na thread hii nitashirikiana naye kumtrain jinsi ya kuposition dish la ting na mengine mengi.Naomba kuwasilisha.
 
vp iyo ting ina chanel ngapi? je ina chanel yoyote ya sport
Ka sasa mi nina channel 35[fta+encripted] za sports ni DUBAI SPORTS3wanaonyesha live bundesliga,SETANTA wanaonyesha mls,spl;RDV wanaonyesha epl na ATN2 wanarusha uefa cl.Naamini binafsi kuwa mpenzi wa football hawezi kuwa satisfied na package yaTING kama ilivyo kwa D**tv package
 
Wa2 wengi wamejitolea muda wao mwingi kuandika makala anuai kuhusu TING vs STARTIMES.Wa2 hao nawapongeza na kuwashukuru sana kwani maandishi yao yamenifanya na mimi ninunue decoder tajwa hapo juu.Concern yangu leo ni kuwashirikisha mazuri ya decoder hiyo.Kwa kuanza decoder hiyo inaweza kutumika popote AFRIKA kwani unapata mawimbi kupitia ungo[satellite dish].Aidha ina option ya kuongeza satellite nyingine ambazo mmiliki angependa kutazama.Mf:binafsi nimeongeza satellites kama Intelsat7/10, Intelsat906 ambayo unapata TBC1 CH10 ITV EATV CAPITAL and many more.Kwa atakaye kuwa interested na thread hii nitashirikiana naye kumtrain jinsi ya kuposition dish la ting na mengine mengi.Naomba kuwasilisha.

naomba shule hiyo
 
Kwa bei hiyo ni bora ukamate qsat, x master, x man au g6 maana nazo ni standard kwa settelite yoyote plus free pay tv for one year.
 
Back
Top Bottom