Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Ndugu yangu Tony katika kuishi kwako duniani najua umewahi tenda dhambi
Je kipi kimekusukuma mpk ukatenda dhambi je ni shetani au akili yako?
Jibu swali langu kwanza ndio uniulize swali lako. Je ni nini imekufanya ukaweka picha mbovu na tatanishi kama hicho ikifuatiwa na jina la kishenzi kama hicho? Ama hujui kwamba Mungu yuko na pia ampingaye Mungu pia yupo?
 
Mwenzio haamini kama ampingaye Mungu yupo, ndio maana akakuhoji, ukitenda dhambi huwa unamsingizia shetani au unajilaumu mwenyewe. Licha ya hayo, mm pia nashangazwa zaidi na yeye kuweka hilo lipicha.
 
Mwenzio haamini kama ampingaye Mungu yupo, ndio maana akakuhoji, ukitenda dhambi huwa unamsingizia shetani au unajilaumu mwenyewe. Licha ya hayo, mm pia nashangazwa zaidi na yeye kuweka hilo lipicha.
Ana matatizo ya akili kwani mtu wa kawaida hawezi tenda alichotenda huyo mtu. Ni jambo tatanishi na sidhani Mods wanastahili kumwacha huyo mshenzi kutisha watu humu kwa mapicha za kishenzi.
 
tatizo ni kuwa dar is slum kama jiji bado halijajengwa vya kutosha. sijawai sikia dar is slum metro. papo hapo ndani ya jiji la dar is slum bado utakuta misitu na mashamba kama kijijini vile. watu wanaishi kana kwamba bado wako mashambani wanalima miwa na mihogo.
Wap Dar wanalima mihogo tuanzie hapo kwanza
 
Bro usfananishe nairobi na london, Nairobi haina magorofa mengi bro ina inavijigorofaa kadhaa virefu mwsho ni floor 38 Times tower sjui kama kuna zaid mtanirekebisha, afu pia london hamna magorofa marefu mzee baba, yapo machache sana ambaya nahic ata nchi za africa zmeipita, miji kama london, paris na mingne ya ulaya ni miji ya kihistoria kama zanzibar, hakuna magorofa kabsa marefu kabisa. Atleast now days moscow na paris wametenga sehem za kujenga hzo mambo mbali kidgo na cety centre, Search google uliza why Europe haijengi skyskrappers like Asia and America utaona. So ulaya ghorofa ndefu hamna ni chache mno, pia Nairobi haina tofaut na Dar au majiji mengne ya Africa, tofaut aake na dar itakuwepo lakn ni ndgo sana na kama ingekua kubwa basi ingeonekana na wasingecompare na dar, ni kwamba tu dar ni kubwa na watu wanaeza miliki ardhi na kujenga nyumba ake mtu ukaishi kwako. Pia hyo sio sababu ya kufanya mji usijengeke as you can see new CBD ya kijitonyama victorial adi morocco ni maeneo yenye makazi lakn kila kukicha kuna crang zinapandisha ghorofa juu, ukija ubungo na sinza kuna majengo yanashushwa lakn kuna makazi ya watu. So alhali nairobi wanakazia pale padgo palipo juu, dar inaexpand, thats why kuona majengo marefu co posta upanga na kariakoo, zimeongezeka ubungo, morocco, victoria kijitonyama, makumbusho adi kuelekea mwenge.
Inasemekana Nairobi kwa eneo INA sq.km karibia 600 sawana jiji LA London ,ila Nairobi INA wakazi mil. 4.5.na London INA wakazi 10 milion Daressalaam INA eneo LA Mara tatu ya hiyo mini (sq
.km 1560) na INA wakazi mil. 5.5) Tafsiri yake dar imejengwa haina gorfa nyingi kama Nairobi na London. Kule wamejenga kwenda Juu na dar ni kila MTU na nyumba yake anayodhani inamtosha
Kwa maana nyingine dar haina ghorofa nyingi kama Nairobi , atakaelpinga aende google kwa facts
 
Jibu swali langu kwanza ndio uniulize swali lako. Je ni nini imekufanya ukaweka picha mbovu na tatanishi kama hicho ikifuatiwa na jina la kishenzi kama hicho? Ama hujui kwamba Mungu yuko na pia ampingaye Mungu pia yupo?

Ulishawahi kumuona wapi huyo mungu au unahisi kama atakuwepo
Mnatenda dhambi mnafanya maovu halafu mnamsingizia shetani wakati akili zenu mbovu ndio zinazowatuma
 
Mwenzio haamini kama ampingaye Mungu yupo, ndio maana akakuhoji, ukitenda dhambi huwa unamsingizia shetani au unajilaumu mwenyewe. Licha ya hayo, mm pia nashangazwa zaidi na yeye kuweka hilo lipicha.
Ana matatizo ya akili kwani mtu wa kawaida hawezi tenda alichotenda huyo mtu. Ni jambo tatanishi na sidhani Mods wanastahili kumwacha huyo mshenzi kutisha watu humu kwa mapicha za kishenzi.

Nimetumia hii avatar na Hilo jina kuwa prove wrong watu kuwa wengi wanatenda dhambi wanafanya maovu then wanamsingizia shetani wakati akili zao mbovu ndio zinazosababisha
That's why nikamuuliza je yeye dhambi zake zinasababishwa na nani je ni shetani au akili yake?
 
joto la jiwe huwa anaongea fact 100% sema kawakuta nyie wakenya wa jf mna akili fupi.
We all know wenye akili fupi ni akina nani kwa hii forum
IMG_20190906_143541_600.JPG
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom