Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,529
- 1,576
Acha nimletee zile ng'anya za metro aone, Jamaa ni kama hashikanishi.
Acha nimletee zile ng'anya za metro aone, Jamaa ni kama hashikanishi.
Here are some of the metro buses. You can see clearly zimeandikwa SUPER METRO. Each bus has its own name like ALVIN, ST MICHAEL, ST. GABRIEL ETC but all are have the common SUPER METRO name on their bodies.Wewe maharage acha kutuletea taarifa ambazo hazipo. Nimekuambia ulete official documents unapiga domo tu.
Mbona unajiita Shetani? Unajua unachotaka ndicho utakachopata? Unajua unaeza patana naye leo usiku kitandani? Tumche Mungu.
Kwani ni jina la kawaida?Kwanini unashangaa Hilo jina?
Sina muda wa kubishana na vichaa, ni wapi hapo kwenye kichwa cha uzi ambapo wametaja County?
Dude, if you don't know what a simple word like metropolis means then I have nothing to discuss with you. This is not a nursery school classroom.Are you stupid, hivi miaka hii ndio ulete ujinga kama huu tukae kimya na kujificha kwenye kichaka cha kuwa hujui city!?
Nime kuambia leta official documents to support your opinion.
If you don't have official documents shut up.
Umekuja mbio ukijua yeeesss this is nairobi...Where has JF got all these deliquescence starting nonsensical threads left right and centre.Hawana cha kufanya majibwa kama hayo?
Nimekuambia acha ujinga. Hata TZ zamani Coast Region ilikuwa ikiunganisha Dar. Dar es salam was part of Coast Region.Hey young man, do you know those Nairobi buses commonly known as nganya? If you know them then here are some facts about them. They are not allowed to pass Nairobi borders crossing to other counties eti wanafanya routes za huko, why can't you then ask yourself some of these question,
Kama hazikubaliwi kufika counties zingine then why are they reaching;
1. Rongai which is in Kajiado county?
2. Why are they reaching Athi River which is in Machakos county ?
3. Why are they reaching Kitengela which is in Kajiado county?
4. Why are they reaching Githurai which is in Kiambu county
5. Why are they reaching Ruaraka in Kiambu county
6. Why are they reaching Ruai which is in Kajiado county.Here are some of the metro buses. You can see clearly zimeandikwa SUPER METRO. Each bus has its own name like ALVIN, ST MICHAEL, ST. GABRIEL ETC but all are have the common SUPER METRO name on their bodies. View attachment 1204661View attachment 1204662View attachment 1204663View attachment 1204664View attachment 1204665
Kwani ni jina la kawaida?
Nimekuambia acha ujinga. Hata TZ zamani Coast Region ilikuwa ikiunganisha Dar. Dar es salam was part of Coast Region.
I asked you the document, unanipigia kelele tu.
Najua upo Kajiado county siyo Nairobi, ndiyo maana unashupalia kelele za Metropolitan. Kajiado ni kijijini sana, wamasai wanachunga ngo'mbe acha kukana asili yako. Huko Ngong kumejaa wanyama kuliko watu. Ila bora wewe wenzako wakina Mwasiti na teargas wame banana uko Korogocho.Boss tafuta ramani ya Kenya acha ubabaishaji mwingi. Gatuzi la Kajiado linapakana na gatuzi la Nairobi. 20 mins drive. Alafu sijui unadhani Kajiado ni kama kule kwenu Mkuranga, tembea ujue mengi.
Umetukashfu wakenya hapaSikuwahi kufahamu kuwa Nairobi ni jiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa Nairobi ni kamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe Nairobi inaweza kulingana na Kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili.
Na mbona umeweka picha tatanishi kama avatar ama unadhani sisi ni wajinga?Shetani👉Saturn👉Enemy
Hilo jina halina ubaya inategemea kichwani mwako unamtazamo gani kwakuwa shetani hajawahi kuwepo ktk ulimwengu huu
Wengi wanatenda maovu kichwani mwao wanasingizia shetani je ktk dunia ya Leo nani aliyewahi kumuona shetani ?
Utakuja kugundua hizo dalili za schizophrenia yaan totally hallucination na delusion
Na mimi niko upande gani wa Kenya?Najua upo Kajiado county siyo Nairobi, ndiyo maana unashupalia kelele za Metropolitan. Kajiado ni kijijini sana, wamasai wanachunga ngo'mbe acha kukana asili yako. Huko Ngong kumejaa wanyama kuliko watu. Ila bora wewe wenzako wakina Mwasiti na teargas wame banana uko Korogocho.
Na mbona umeweka picha tatanishi kama avatar ama unadhani sisi ni wajinga?
Dah! Hata nikikuekea huzisomi. Hii hapa ni tovuti ya NaMSIP(Nairobi Metropolitan Services Improvement Project) idara ya serikali ya kuboresha huduma ndani ya Nairobi Metropolis. .go.ke ni anwani rasmi ya GoK.Wewe maharage acha kutuletea taarifa ambazo hazipo. Nimekuambia ulete official documents unapiga domo tu.
Kenya Year Book ni publication rasmi ya GoK ambayo huwa wanaitoa kila mwaka. Humo ndani huwa kuna taarifa na takwimu zote, za mwakani, za Kenya. Nashangaa kusikia kwamba huko Magufulistan huwa hamna kitu kama hicho.This is an official document from your government!?
Ondoa upumbavu wako hapa. Fool Kenyan.
Wewe haupo KenyaNa mimi niko upande gani wa Kenya?
Kijana mbona kama akili zako ni finyu unatuletea Project!?Dah! Hata nikikuekea huzisomi. Hii hapa ni tovuti ya NaMSIP(Nairobi Metropolitan Services Improvement Project) idara ya serikali ya kuboresha huduma ndani ya Nairobi Metropolis. .go.ke ni anwani rasmi ya GoK. Kenya Year Book ni publication rasmi ya GoK ambayo huwa wanaitoa kila mwaka. Humo ndani huwa kuna taarifa na takwimu zote, za mwakani, za Kenya. Nashangaa kusikia kwamba huko Magufulistan huwa hamna kitu kama hicho.