Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
2,867
Points
2,000
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
2,867 2,000
Kwani githeri au sukuma si msosi. Ni mawe?
Githeri na sukuma wiki si msosi..ndo maana ikaitwa sukuma wiki..hujui maana Ake

Usijidanganye umetafuna githeri eti umegonga msosi!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
3,010
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
3,010 2,000
Githeri na sukuma wiki si msosi..ndo maana ikaitwa sukuma wiki..hujui maana Ake

Usijidanganye umetafuna githeri eti umegonga msosi!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikujua githeri na sukuma ni mavi ya kuku. Nimejifunza kitu leo. Asante.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
853
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
853 1,000
Sio typo, size kamili ya Nairobi Metro ni 32,715 sq kms. Kuna mtu ameweka 'breakdown' ya sekta zote tano za Nairobi metro. Core Metro, Northern, North Eastern, Southern na Eastern Metro.
Mungu wangu. Basi tuletee source ya hixi taarifa zako.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
853
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
853 1,000
Ni common knowledge, kwa watu ambao wanapenda kusoma na kujua mengi. Ndio hii link ya info na takwimu zote kuhusu Nairobi Metropolis.
Wakenya bhana.
Kwahiyo hiyo ni political region, Government region au nini!?
Maana naonakuna
Machakosi, Kiambu, Kajiando na Murang'a.
Je, administrative area ya Kenya imebadilika siku hizi!? Mmeachana na counties!?
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,923
Points
2,000
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,923 2,000
Kwani ameshindwa kurudia na kuona kosa lake na kulirekebisha, alimaanisha hivyo
Nadhani alimaanisha 3,200 sq. km. Shida ya wabongo kosa la typing error mtaligeuza kuwa ndicho kinachojadiliwa.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
853
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
853 1,000
Nairobi hamna hakujae, huko ushago kwenu ndiyo una umaarufu kidogo kwakua ulikua unachunga ng'ombe wa kijiji vizuri.
Nimekuuliza hiyo Nairobi Metro ni administrative region au kitu kani!? Give me an official source from the government of Kenya inayosema kuna kitu kinaitwa Nairobi Metro.

Ni sawa na sisi tunaweza kusema EAST COAST which includes, Dar es salaaam, pwani and Morogoro.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,227
Points
2,000
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,227 2,000
Nimekuuliza hiyo Nairobi Metro ni administrative region au kitu kani!? Give me an official source from the government of Kenya inayosema kuna kitu kinaitwa Nairobi Metro.

Ni sawa na sisi tunaweza kusema EAST COAST which includes, Dar es salaaam, pwani and Morogoro.
Mimi kama mkenya nasema hamna kitu kama Nairobi metropolitan.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,714
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,714 2,000
Wakenya bhana.
Kwahiyo hiyo ni political region, Government region au nini!?
Maana naonakuna
Machakosi, Kiambu, Kajiando na Murang'a.
Je, administrative area ya Kenya imebadilika siku hizi!? Mmeachana na counties!?
Umeitisha link nikakupa, umeifungua ukashindwa kusoma au? Ulianza kwa kubisha kwamba Nairobi Metropolitan sio 32,000 sq km, naona sasa umetulia. Majibu ya hayo maswali yako yote yapo hapo kwenye taarifa hiyo.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,714
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,714 2,000
Nairobi hamna hakujae, huko ushago kwenu ndiyo una umaarufu kidogo kwakua ulikua unachunga ng'ombe wa kijiji vizuri.
Boss tafuta ramani ya Kenya acha ubabaishaji mwingi. Gatuzi la Kajiado linapakana na gatuzi la Nairobi. 20 mins drive. Alafu sijui unadhani Kajiado ni kama kule kwenu Mkuranga, tembea ujue mengi.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
853
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
853 1,000
Umeitisha link nikakupa, umeifungua ukashindwa kusoma au? Ulianza kwa kubisha kwamba Nairobi Metropolitan sio 32,000 sq km, naona sasa umetulia. Majibu ya hayo maswali yako yote yapo hapo kwenye taarifa hiyo.
Acha ujinga wewe. Hata sisi tunaweza sema EAST COST more than 80,000sqr km.
There is no Nairobi Metropolitan in Kenya administration. Hizo taarifa ni za kuunga unga that why there is no official document from the government inayoongelea Nairobi Metropolitan.
Ficha upumbavu wako hapa.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
853
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
853 1,000
Boss tafuta ramani ya Kenya acha ubabaishaji mwingi. Gatuzi la Kajiado linapakana na gatuzi la Nairobi. 20 mins drive. Alafu sijui unadhani Kajiado ni kama kule kwenu Mkuranga, tembea ujue mengi.
Wewe jamaa kichwa chako hakiko sawa.
How comes Nairobi(Kajiado) to be bordered by itself (Nairobi)?
img_20190911_184311_209-jpg.1204640
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,714
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,714 2,000
Acha ujinga wewe. Hata sisi tunaweza sema EAST COST more than 80,000sqr km.
There is no Nairobi Metropolitan in Kenya administration. Hizo taarifa ni za kuunga unga that why there is no official document from the government inayoongelea Nairobi Metropolitan.
Ficha upumbavu wako hapa.
Bora utulie tu maanake ujuaji wako wa peni mbili umefikia kikomo. Hii link ambayo nilikuwa nimekuekea hapo awali ni Kenya Year Book 2018, ya info na takwimu zote rasmi kuhusu Kenya. Huwa inatolewa kila mwaka na GoK, hujaona nembo ya coat of arms ya Kenya?
 
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
4,780
Points
2,000
NairobiWalker

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
4,780 2,000
Nimekuuliza hiyo Nairobi Metro ni administrative region au kitu kani!? Give me an official source from the government of Kenya inayosema kuna kitu kinaitwa Nairobi Metro.

Ni sawa na sisi tunaweza kusema EAST COAST which includes, Dar es salaaam, pwani and Morogoro.
If you don't know what a metropolis is then you do not deserve to discuss anything about cities.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,714
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,714 2,000
Wewe jamaa kichwa chako hakiko sawa.
How comes Nairobi(Kajiado) to be bordered by itself (Nairobi)?
View attachment 1204640
Unachosha sana wewe jamaa, tangu lini gatuzi moja likawa ndani ya gatuzi lingine? Unajua maana ya county? Nairobi Metropolis imeingia hadi sehemu zingine za gatuzi nne za Kajiado, Machakos, Kiambu na Murang'a. We vipi unataka nikochoree kibonzo ndio uelewe?
 
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
6,415
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
6,415 2,000
This is an official document from your government!?
Ondoa upumbavu wako hapa. Fool Kenyan.
Nimekuwa nikifuatilia huu uzi and I have realised one thing, hujui maana ya metro. Let me educate a bit, Nairobi metro is something which was created when Nairobi started to expand past it's boders. Do you know that some parts of JKIA is in Machakos county? Do you know that the people of Kitengela and Rongai are in Kajiado county? but if you ask them where they are coming from watakuambia wanatoka Nairobi. Do you know that Githurai and Ruaraka is in Kiambu county? If you ask msee wa Githurai penye anatoka atakuambia Nairobi. Do you know that there are buses in Nairobi known as Metro buses plying the routes of Nairobi metro?
 
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
6,415
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
6,415 2,000
Acha nimletee zile ng'anya za metro aone, Jamaa ni kama hashikanishi.
Unachosha sana wewe jamaa, tangu lini gatuzi moja likawa ndani ya gatuzi lingine? Unajua maana ya county? Nairobi Metropolis imeingia hadi sehemu zingine za gatuzi nne za Kajiado, Machakos, Kiambu na Murang'a. We vipi unataka nikochoree kibonzo ndio uelewe?
 
Forum statistics

Threads 1,335,209
Members 512,271
Posts 32,499,212
Top