Uzuri na raha ya bukoba - kagera part 2 : Vitu asili na vipya

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
kwa vile bado nauzunguka mkoa huu wa Kagera kila nionapo kitu kizuri lazima nikilete kwenu. Kwa sasa pale maeneo ya Bukoba mjini kwenye Round about karibia na Rugambwa Memorial house al maarufu kama West End Rodge Imetengenezwa Artificial banana plant na kuwekwa katikati ya mji. Kwa kweli inapendeza hebu iangalieni. Mkija desemba MTAFURAHI WENYEWE.

IMG_0313.JPG

Hebu cheki mji unavyopendeza kwa sasa. Na hapo chini vipi


IMG_0314.JPG


Wazee wa Mulebe nao hawakubaki nyuma, wanatengeneza vitu vya asili hivyoooo, loh we acha tu jamani ni nomaaaa. Hebu angalia hapo chini


IMG_0471.JPG


Na hii ngoma ya kule Nshamba unaikumbuka? Huyu jamaa anaitwa Stephen Selestine Tibaigana

IMG_0464.JPG



Vitu asilia vinaendeleaaaaaaaaaaaaa

IMG_0472.JPG



IMG_0474.JPG



IMG_0499.JPG


Unaicheki hiyo kofia. Ekolize "Ebyai" Yaani imetengenezwa kwa magamba ya migomba.

IMG_0500.JPG

Kama kawaida ndizi haziwezi kukosa hapo.

Sasa tunaelekea Kemondo kisha turudi Kiroyera Beach. Wazungu nao waiingia eti.

IMG_0561.JPG


Unawakumbuka wapiga mziki wetu. Akina Focus, Moto pamba, Majura sound, JVC, Turbo, One Way ilikuwa balaa enzi hizo. Hadi sasa Focus yumo.


IMG_0574.JPG


Unaikumbuka hiii. Ngoma unapiga mwenyewe na kuimba juuu. Saida Karoli alianza hivihivi.


IMG_0583.JPG

Hapo jamaa wa kikundi cha vijana wa TADEPA kutoka KATERERO ANAFANYA MAMBO akiwaambia wananchi kuwa Ukimwi na TB bado vipo wajihadhari.

IMG_0588.JPG


Waheshimiwa wa TADEPA, wananchi wote, wanacheki ngoma na kutafakari meseji hizo hebu cheki nyuso zao.

IMG_0591.JPG


Watoto nao wanakula lecture, yaani baada ya miaka michache wako ulingoni. Hata Tibaigana (Afande) na Tibaijuka
(Prof), Azaveli Rwaitama, Baregu, Mkandara, walitokea viwanja vya dizaini hiii.

IMG_0597.JPG

Sasa huyu Afisa naye anayarudi, anaunga mkono hua. Wenzake wanamchekiiiiiiiiii, tehteheteheteheteeee.... Mussa Mohammed.


SASA TUNAELEKEA KIROYERA WAKATI WA JIONI/USIKU

IMG_0608.JPG

Sasa hapo ndo Mhaya wa Ihangilo anacheza ngoma hiyo, na huyo Afisa pembeni, sasa ndugu zangu Wahaya wa ulaya, i mean wazungu wakaingilia kati. Bukoba bana, we acha tu.

IMG_0613.JPG

Mzungu anaposhangaaa kiduku ya Kihaya..... maweeeeee chonka jamani basi tu.

Wadau naishia hapa kwanza. Najua Kamaradarie ataongeza vingine.
 
Mbakasinge waitu.Ungepanda juu kidogo hiyo sehemu inaitwa KANAZI...kwa akina Barongo,Balozi E.Mulokozi,mbele kidogo in IBWERA kwa Dr.Kilahama wa Malia asili na Wakili Tasilama,Jaji Lwakibalila nk..Mbele Kidogo ni KATORO kwa Prof Katima .safi sana TaMuganyizi
 
Sasa mkuu wewe ni yupi kati ya hao wote kwenye picha?
waoneshe wadau wqengine maana mimi nishakuona kwenye picha moja hapo
 
nitakupm hizo picha maana hata sister wangu yumo...........ila anapua kama yangu
 

Wakora waitu Ta Muganyizi twashemerelwa aha maisho, byona birungi nibyoleka Buhaya yaitu!!!!!

 
Ohh I miss ziwa magharibi... longtimu.... Suali kwa wahaya ? what thats mean.
" iwee wasibottaa WamShanawayttu " ndo manaake nini?
 
Back
Top Bottom