Uzoefu wangu toka nikiwa mdogo wa kutembea na wake za watu na athari kubwa nliyokuja ipata

basi sioi anita... maana unajitisha sasa.... ha ha ha... mimi ntaoa mtu mwenye sura kama yako.. hakuna wa kumtaka hata akipewa na hela mwanaume anakataa....

Kwani mkuu sura ikiwa mbaya ladha ya ikulu inabadilika???? Hata vichaa wanapewa mimba na wenye akili timamu sembuse mbaya sura. Oa tu ulipe madeni.
 
ntajaribu kuelezea kwa kifupi sana ili stories zisiwe ndefu na najua watu wengi hawapendi kusoma.sitoweka majina ya wahusika na nitakwepa pia kutoa details nyingi ili nisiwaharibie huko waliko.

mi nlianza kwa mara ya kwanza kufanya mapenzi na mwalimu wangu wa english nikiwa kidato cha 3. yule mwalimu alikuwa ni mzuri sana. sana shule nzima wanafunzi na walimu walikuwa wakimzungumzia ukichukulia shule yetu ilikuwa na wanafunzi wa A- Level wengi sana kwa masomo ya Arts na Biashara. alikuwa ni mwalimu wa English na Geography alionesha mapenzi mapema sana kila mara alipenda kuniita ofisini kwake na ikawa tumefikia hatua ya kuazimana novels. mle kwenye novels akawa akiona maneno ya mahaba anayapigia mstari ili nikija kusoma niyaone nami yaniguse.sikuwa na ujasiri wa kumtokea mwalimu ukichukulia alikuwa mkubwa kwangu kiasi na pia mimi ni mwanafunzi.

siku moja alituita kwenye masomo ya ziada jumamosi upande wa physical geography wakati tunatoka aliomba nibaki ili nimsaidie kubeba vitabu kumpelekea kwake. alikuwa amepanga nyumba nzima akiwa na mchumba wake ambaye alikuwa ni mfanya biashara akienda south africa na zambia. basi nikiwa kwake tunapiga stories miaka hiyo akanitolea magazine moja ya porno akaniwekea mezani niitizame.yeye akaenda chumban akarudi amevaa night dress na ndani anachupi ya pink inaonekana. akanambia tuangalie ile magazine. mwishowe akanambia ananipenda sana. sana. na yupo tayari kwa lolote lile ila nisije nikamwambia mtu maana akijulikana shuleni itabidi ajinyonge. nikaogopa sana basi tukaenda room nikafanya naye mapenzi. nakumbuka tulifanya mara tatu na mpaka condom ilipasuka akakataa nisitoe niendelee humo humo. ulikuwa mwanzo wa mahaba mazito na ticha.nikamaliza form four ikawa ngumu kuonana naye kila mara.taratibu nikajitoa kwakena ukichukulia miaka hiyo hatukuwa na mobile phones...

tabia ile ya kutembea na watu wakubwa ikawa ndo imejijenga.nikaja kutembea na dr mmoja wa hosp ya mkoa.alikuwa mtoto mzuri sana na miguu ya bia kiuno chembamba.aisee... nlipata shida sana kwa yule dada.maana vita ilikuwa kubwa hasa toka kwa mchumba wake.baadaye wakaachana sababu yule dada alikolea kwangu nami nlimpenda sana.nikiwa nmemaliza kidato cha nne. bro nliyekuwa nakaa naye akaona ni bora anirudishe tu dar baada ya kusikia nimemla dada mmoja alikuwa mfanyakazi wa bank moja pale mjini na alikuwa rafik yake mke wa bro.

mimi nikawa sina ujuzi wa kutongoza watoto wadogo.nikawa naweza mtongoza mtu mkubwa kwangu kuliko mtoto. kurudi dar nikawa nakula demu mmoja ambaye alizaa na jamaa akiwa shule.jamaa yake akaja kugundua alinifuata mpaka home ,hadi sebuleni tukakaa tukaongea ongea tu hakuwa na jipya akaondoka.mi nikaendelea kula demu wake.jamaa alikuwa anapata shida sana.nikiwa a -level mkoa flan wa karibu tu yule demu alikuwa anakuja mpaka kule... naendelea naye huku tayari alishajifungua. huko nako nikakamata demu wa kidato cha sita mi nikiwa cha tano.nlikuwa hawa watoto wa chini yangu nawadharau flan hivi naona kama siwezi uza mistari kwao wasingeielewa lugha yangu.

nlipomaliza a-level nikaenda chuo udsm. yule dem nliendelea kuwa naye ambaye alikuwa amejifungua coz yeye alikuwa ni wa kitaa.jamaa yake aliamua kumuoa yule dada.ingawa alikuwa na mimba ambayo inawezekana ilikuwa yangu au ya jamaa maana tulikuwa tunakula wote mi naletewa mzigo pale udsm main campus nakula na sometime lodge za sinza na jamaa naye anakula huko aliko.yule dada akapata mimba.jamaa akaja kwangu kuuliza sasa inakuaje ile mimba yangu au yake.mi actually sikuwa na mpango na yule dada..sikuwa na mpango wa kumuoa coz sikuwa naona anafaa kuwa mke zaidi ya mchepuko wa kudumu.ukichukulia pia age tulikuwa tumepishna mwaka mmoja so alikuwa mkubwa.jamaa siku hiyo usiku nliongea naye mpaka usiku saa 5 akaondoka nikimwonea huruma na nikamwambia sitotendelea tena kumla mke wake mtarajiwa maana jamaa alikuwa amebakiza siku 3 aoe.so ningesema tu kuwa ile mimba yangu alitaka aniachie nami sikuona sababu ya kuachiwa mzigo.mpaka leo haijulikan yule mtoto ni wa nani.

wakati huo huo nikawa na demu mmoja mtaani alikuwa bint mmoja mrembo aligombea miss...na akawa mshindi wa pili. chuoni nilikuwa na demu mwingine mwaka wa kwanza katoka dodoma asili yake ni mwanza alikuwa na mchumba wake anafanya kazi bank crdb kama sikosei.yule demu alidata kwangu ile mbaya mpaka mwaka mpya jamaa yake katoka dodoma kaja dar amwone demu anagoma jamaa anaambiwa tu vipindi vimebana pale chuo kumbe demu yupo nami room.nikaja kushtuka saa 3 hivi naona demu anachat kumwomba simu ananambia jamaa kaja toka machana anataka amwone na yeye hataka mwaka mpya aingie na mimi.nlijisikia huruma sana kweli nikamwambia aondoke amfuate jamaa.nliumia sana kwa yule demu kumkalisha jamaa toka mchana pale chuo hillpark then mwishowe anamwambia hawatoweza kuonana sababu yangu.nlimsindikiza kwa nguvu aondoke akaonane na jamaa.demu alini mind sana.ndo ukaanza mwanzo wangu na yeye ugomv nikaachana naye.

tukiwa kwenye heka heka za migomo siku moja nimetoka revo square mbele yangu nikamwona mtoto mmoja matata sana ameiva ile mbaya na mwili anao.nikampita halafu nikawa narudi nikamgonga bahati mbaya akaangusha madaftari yake maana alikuwa naye ana haraka kukimbilia bwenini hall 7. nikaokota madaftari yake nikamwomba msamaha sana.nikamwambia hali si nzuri ngoja nimsindikize akwia kule akawa anataka kuwapigia simu wazaz waje wamchukue.nikamwambia atulie kwanza asiwape presha anipe namba yake ya simu kama kuna lolote nitamwambia.akanipa basi tukawa tunawasiliana na jioni nikamtoa akale udassa.nikamsindikiza mpaka hall 7 .kesho yake akawa ananitania mi brotherman n.k nikawa namwambia asiseme vile maana anaweza ponzeka..

basi ikatokea bash moja room mate wake na watu wengi sana walienda kuhudhuria.yeye hakwenda akaniita kwa kuwa alikuwa peke yake room. nlienda nikapata nafasi ya kumnanii..nlipiga show kali sana.coz alikuwa akitania mi brotherman nikataka kumuonesha mimi ni nani..mpaka saa saba yule dada likuwa hoi nami hoi.nlirudi kwangu kulala. kesho yake mimi nanii ilikuwa imevimba na yeye nilipata simu toka wka dada yake akinambia nimemfanya nini mdogo wake.kule chini alikuwa amevimba na kwekundu sana. tukawa wapenzi

nikaja kupata dada mmoja alikua anafanya masters kumbe she was married ila hakuwa akiva pete.akakolea nami sana nami nlimpenda....wakati hu wote yule aliyekuwa na mimba ya utata alikuwa akipata nafasi ananitafuta tunapiga game ya kirafiki anaondoka pamoja na kuwa ameolewa hapo alikuwa ameshajifungua...sielewi alikuwa anaendaje kumnyonyesha mtoto wake...anyway hayanihusu.

yule dada wa masters mumewe akajua siku hiyo akanipigia simu kunitukana na kunichimba biti kali sana, nlimwambia yeye hana cha kunifanya. alipozidi kupiga bit nikamwambia mi napatikana aje udsm atanikuta jamaa akaja na mwenzie.tulikutana naye hillpark nikijua pale kuna polisi karibu in vase of anything tutajuana tu vizuri. basi nikatangulia kufika ili wakija niwatambue kwanza kweli akaja na gari wakashuka na mwenzie then nikawambia waje nlipo wakanifuata.tukakaa meza moja.mimi na yule jamaa mwenye mke na rafikiye.nikajitambulisha.jamaa alikuwa mpole sana nadhani baada ya kuniona mimi nlikuwa na afya yang nzur tu.basi akanambia tuyamalize kama wanaume..yule demu ni mkewe na anaomba hayo mambo yaishie hapo.wanawake ni dhaifu sana n.k basi tukawa friends huwezi amini nikaamua kumwacha mkewe.

michezo iliendelea yule demu wa mtoto akaendelea mpaka hivi karibuni tena toka mwaka 2013 ananitafuta anatafuta na lodge naenda napiga show naondoka zangu.sikuwa na gharama naye coz anafanya kazi naye anahitaj huduma yangu tu basi ikaenda mpaka mumewe tena akaja akajua kuwa naendelea na mkewe toka miaka ya 90s mpaka sasa na tayar wana watoto 3 pamoja.ikatokea jamaa akakuta mpaka yule dada huwa ananitumia picha za uchi...ikawa mpaka issue ya kwenda polisi.bahati nzuri polisi wenyewe wana ile issue na jamaa naye yeye binafsi hakuwa na cha kunifanya maana mke wake ndo tatizo ndo alikuwa mpaka ana facilitate tukutane tukananii.. then akiona nasita sita anatuma picha za uchi kunitia hamu..wakati huo ameshachukua room so anataka niende..nikiangalia mi siingi gharama yoyote basi naenda napiga mzigo na yule mwanamke ananipenda mpka kesho.maana tulipitia mikasa mingi sana mpaka kukamatwa na polisi huko coco beach tukinanii..miaka ya nyuma tukaja kuachiwa usiku saa3 baada ya kukosa rushwa.

tukaja kupata tena msala mwingine na huyo mwanamke mpaka kufikishana polisi akazimia ...nikampoza akazinduka na baadaye tena akaomba nikampe issue... kitu ambacho kilimshangaza mjumbe ambaye alishirikishwa kwenye ile kesi mpaka akashindwa aseme nini.maana mimi ndo nimempeleka yule mwanamke polisi kwa mshangao na mshutuko anazimia namsaidia kuzinduka na baadaye anasikia tena tunaendelea kukazana kama kawaida...

basi mumewe akapeleka hii kesi mpya polisi,polisi wenyewe nao wakani ona mi mshkaji nipo peace sana na mmoja tunafahamiana vizuri ile kesi ikaisha na jamaa hakutaka kuendelea nayo...basi mkewe akapoa poa mpaka kipindi flan siku moja akajifanya amekosea kupiga simu ikaita nikaona nisipokee... nliamua tu niachane naye maana hakuwa na jipya ntakuwa namuumiza tu mumewe ambaye ni kama zezeta flan kwake.

nikaja kumpata dada moja naye mke wa mtu kama masikhara nikawa nadate yule dada ikafikia akamwambia mpaka mumewe kwa uwazi maana dada hadi picha zangu alikuwa nazo kwenye simu. mumewe akaja jua kuwa nakula mkewe sana tu si kidogo mpaka mke anatoroka kazin au nyumban usiku.akaja kunipiga bit sana nami nikampiga biti huyo mume ile kinyama baada ya yeye kunijia kibabe. ikabidi apoe maana nlimwambia akijifanya mjanja natendelea kula mke wake mpaka nimpe mimba. na tayari walikuwa na watoto kadhaa. baadaye nikaamua tu kumuachia yule dada maana nlikuwa najua siwezi mwoa.

so kiufupi hao ni baadhi ya wake,wachumba na wapenzi wa watu ambao nlikuwa nakula wengine stories zitakuwa nyingi sana na mtachoka... ILA NAWAASA VIJANA. SASA ACHENI KABISA KULA WAKE ZA WATU...
YALIYOKUJA KUNIPATA NI kuwa nimekuwa napata shida sana kufikiria kuoa maana nawaza kama nimetembea na wake za watu zaidi ya 13 je hawa wanawake wa siku hizi wakoje?

MIMI NLIAMUA TU KUACHA ,UWEZO WA KULA NINAO, SABABU NINAZO ILA NIA SINA. SO NMEACHA NA SITAKI TENA HUO MCHEZO. NATAKA NITULIE TU NAMI NIOE NITULIE NA MKE WANGU. MKE WA MTU SI KITU KIZURI. SI JAMBO JEMA NISEME TU UKWELI. SISHAURI UTEMBEE NA MKE WA MTU HATA SIKU MOJA. NMEONA WATU WAKIUMIA SANA. SANA.
Daaah, magu toa ajira hii hali si sawa.
 
kitu kimoja usichokijua kuhusu wanaume...Wanaume hawashindwi ktk mapambano yoyote yanayogusa Uanaume wao!!!Wanaume wote uliowalia wake zao usidhani wamenyanyua mikono juu, wanakusubiria tu Uoe wakutafunie mkeo!!!Nakushauri usioe...ukioa jiandae....Karma is a "bitch"
 
Asizani mimi ni mkimya sana "OSIE" naumia Roho yangu, nsije mbele mimi kupata lawama nkaaribu CV yangu... Mkuu uliponea tuu ila kama ungekutana na mnyama unyamani wangekuwa wamekufanyia mambo ya kusikitisha sana, TRUST me kuna michezo huwa tunaicheza na hawa kina dada na wake za watu inatuweka sehemu hatarishi sana...
 
Nilishasema kuna watu wakienda kuungama Padri atawaambia UCHAGUE:
1. zambi zako nazigawanya kwa mbili nyingne nitakuungamisha weekend ijayo. Kuepusha kuzimia kwa padri mana si shughuli ndogo
2. Tukupe rufaa ukaungame kwa askofu.
3. Ufe nazo ukaugame mbele ya safali.
4. Yafanyike mapatano nyingne wapunguziwe wanao.
5. Shetani akubebe mzima mzima kabla hujafa mkajue namna ya kuzipunguza

Sio marehem unakaribia kuzimu, wenzako na vijishetani vyenye roho ndogo ndogo vinakimbia. Sasa wewe utakua mgeni wa nani hata anayetakiwa akuwashie moto uungue Anaogopa.
 
NIMEGHAIRI... SIOI. NTAENDELEA KUWEPO KUWEPO .....NATAFUTA MWANAMKE WA KUNIZALIA TU WATOTO WENGINE WAWILI.
Jiandae nawe mkeo tumtafune
Nilishasema kuna watu wakienda kuungama Padri atawaambia UCHAGUE:
1. zambi zako nazigawanya kwa mbili nyingne nitakuungamisha weekend ijayo. Kuepusha kuzimia kwa padri mana si shughuli ndogo
2. Tukupe rufaa ukaungame kwa askofu.
3. Ufe nazo ukaugame mbele ya safali.
4. Yafanyike mapatano nyingne wapunguziwe wanao.
5. Shetani akubebe mzima mzima kabla hujafa mkajue namna ya kuzipunguza

Sio marehem unakaribia kuzimu, wenzako na vijishetani vyenye roho ndogo ndogo vinakimbia. Sasa wewe utakua mgeni wa nani hata anayetakiwa akuwashie moto uungue Anaogopa.
We kiboko! Mla Huliwa. SUBIRI.
 
Back
Top Bottom