Uzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!

Mkuu huwa nakuelewa mno.
Hata Mimi natamani ostadhi aiende kwa wito wa dharau.

Njia pekee nzuri ni CAG kutokwenda huko kwani akienda atakuwa kakiuka sheria na katiba na pengine wamemtega akibali kwenda kisha atengenezewe Zengwe wamfukuze kazi kisha wambambikie kesi kibao kama kawaida yao
 
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali

umeandika vizuri lakini sikuelewa unaamanisha nini kusema watoto wa baba mmoja wanaambiana ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba yao........

baba yao hawa ni nani?

hilo ndilo nilitaka jamii ipate ufafanuzi kujua baba yao hawa wote ni "majority tanzanians"

watanzania walio wengi wanasapoti nini na wanapinga nini ndilo jambo linaloweza kuwasukuma ndugu watatu ambao wote hakuna anayestahili kuwa juu ya mwingine bali wanatakiwa kushauriana, kulindana na kuongozana katika kusimamia mali za baba yao ambaye uzee umemfanya akose nguvu za kusimamia mali zake yeye mwenyewe.

hivyo baba huyu akawakabidhi watoto wake hawa watatu kila mmoja akimkabidhi majukumu yake, ila wapo wanaodhani mtoto fulani ndiye baba wa familia hii kwa kuona kila kitu cha familia kakishikilia yeye.

Nguvu ya mzee huyu mgonjwa imebakia kwa umoja wake na kujitambua.

akibaini makosa yanayofanywa na hawa watoto wake watatu au wajukuu au vitukuu alivyopata kupitia hawa watoto na akawaonyesha kuwa kwa umoja wake huyu mzee kachukia hawa watoto hawana namna bali kubadirika maana wanajua mzee anaweza kuwatoa katika urithi.
 
bradha hebu acha uoga au wamekwambia ukisema kilichojir utamezwa? funguka kusudi wengine tukiitwa tuweze kujiongeza tupe hint? hivi kwa mfano ukikutwa na kosa wewe kama wewe si mbunge ni adhabu gani wanakupa? au wanakua mahakama unaenda gerezani? nifafanulie mkuu

Kwa Utawala huu wa kidikteta wakikukuta na hatia waweza kufugwa miaka 30 moja kwa moja gerezani pasipo kupitia mahakamani.
 
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Ile clip ya swali la kikatiba kwa Jiwe imefanya nikuheshimu mno maishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekuelewa Paskali,subiri tupate na uzoefu wa baba Keagan ili tumshauri na CAG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG wewe nenda media hizi zisijekukuponza akatiwa pingu

Sent using Jamii Forums mobile app

Aende vipi? Kwani hujui kuwa akienda kwa Amri feki batili za Ndungai atakuwa kavunja sheria? ebu fikiria huyo Spika ni Amiri jeshi mkuu mpaka amtishie pingu? Tambua kuwa Media wamesimama kwenye kuheshimu katiba na sheria si vinginevyo, ujue sheria hairuhusu kwenda huko akienda tu ujue atakuwa kavunja katiba, sasa wewe unataka aende huko kudhalilishwa kwa maana nyingine wewe ndiyo mtu mbaya wake kwani unataka aende kutengenezewa zengwe kisha wapate kumfukuza kazi wazime tuhuma ya trilion 1.5 kirahisi kimya kimya.
 
Mr passkali ngw'ana mayalla,hebu nipe tofauti kati ya C.A.G. NA MUSSA ASSAD, na ni wakati gn unaweza kujua huyu ss ni C.A.G. Na wakati gn utajua ss huyu ninae ongea nae ni mussa assad??!! Na alie itwa na spika ni yupi?! Ni C.A.G AU NI MUSSA ASSAD???!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr passkali ngw'ana mayalla,hebu nipe tofauti kati ya C.A.G. NA MUSSA ASSAD, na ni wakati gn unaweza kujua huyu ss ni C.A.G. Na wakati gn utajua ss huyu ninae ongea nae ni mussa assad??!! Na alie itwa na spika ni yupi?! Ni C.A.G AU NI MUSSA ASSAD???!

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwa madarakani mda wowote anapoongea na Media huongea kama CAG na Spika akiwa madarakani akamwita mtu kwa mikwara ya pingu nae kamwita kama Spika sio Ndungai binafsi, kwa kifupi hao wote wapo madarakani ingawa Spika kajipandisha cheo kajiita Amiri Jeshi mkuu ndipo kamwita CAG kwa mikwara ya pingu.
 
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Maneno ya spika ya "HOVYO HOVYO" 😂😂😂
 
Back
Top Bottom