indelible
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 652
- 299
Salaam,
Miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye alitokea kunipenda sana labda hata kuliko nilivyo kuwa najisikia kwake. Nakumbuka siku ya kwanza kumgegeda alilia kwa kwikwi huku akinishutumu kwanini nimemtoa usichana wake wakati alikuwa amepanga kumpatia zawadi mume wa maisha yake, ila ukiniuliza hiyo bikra niitoa saa ngapi kwa kweli mi sikuona chochote mzigo ulikuwa una lika tu na alionekana mtaalam kuliko nilivyo mdhania.
Kwa kweli alikuwa mtamu we was satisfied, baada ya miezi kadhaa alikolea ilikuwa ikipita sikutatu bila kuonana basi nijiandae kujibu maswali yasiyo na kichwa wala miguu,kesi kama hizo nilizimaliza kwa kumpa haki yake na amani ilikuwa inatawala tena.Uhusiano wetu pamoja na kwamba haukuwa rasmi ulidumu kwa mwaka hivi mpaka siku niliyoamua kuuvunja (ieleweke sikupenda kuuvunja makusudi).
Habari nzima inaanzia hapa. Siku hiyo ilikuwa mapema alfajiri kama saa 12 unusu nilisikia muungurumo wa gari ikifunga brake nje ya nyumba niliyokuwanaishi ilikuwa sio kawaida huyu dada kuja uda huo maana kwao ni gate kali, ilimaanaisha kwamba aliaga kwao (aliagaje kwao mi sijui) aligonga mlango na kuingia ndani, nikamuuliza kuna tatizo gani mbona mapema sana? Akaniambia amemuomba driver wao ampitishe hapo kwa jambo moja tu muhimu.
Amekuja kuniuliza msimamo wangu kama niko radhi kumuoa nakuishi nae hata kama sina kitu, kauli hiyo ilinishitua kwa sababu sikuwa nimejiandaa kuoa na sababu kuu ilikuwa umri wangu mdogo na sikuwa na ajira ya maana. Hivyo nikamjibu kwa swali kwa nini ameniuliza hivyo? Akadai ni kwamba kuna wageni walikuja kwao jana kwa ajili ya kufanya posa kwa ajili yake. Lakini amewaomba wazazi wake wasijibu chochote kwenye posa hiyo mpaka atafakari kwanza, ndio atakapokuwa tayali kuwajibu ndiyo au hapana (kwa maana ya kuja kuniuliza mimi kwanza)
Nilimjibu kwamba mimi siwezi kumuoa na ikiwa anahitaji ndoa na amejitokeza mtu ambaye anaweza kufanya hivyo basi aendelee nae. Kwa kweli aliangua kilio sio cha kawaida huku akinisisitiza nimkubalie, nilimuonea huruma lakini sikuwa na jinsi ya kufanya. Nilimbembeleza mpaka akaonekana kunielewa,ila kabla ya kuondoka akaomba tuagane maana yeye atalazimika kuolewa na huyo bwana (Ingwa hawakuahi kuwa na mahusano kabla). Kama kawaida akapata kitu roho inapenda. Baada ya pale ndio ukawa mwisho wetu.
Sasa basi juzi hii kanitafuta kunieleza kwamba mpaka anaenda kufunga ndoa alikuwa na ujauzito wangu na inamaana kwamba kijana wake wa kwanza ni wangu. Ameshindwa kuendelea kumnyima mwanae haki yake ameona anitaarifu. Nimechanganyikiwa lakini pia ninafuraha maana huyu mke nilie nae kwa kweli tunaendelea kuhangaika sana hajapata mwana (Siwezikuelezea kwa undani kwanini hajapata mwana)
Sasa najiuliza nifanyeje, nitamwambiaje wife! Itakuwaje kwamumewe? Mtoto nae atanielewa? I am stillconfused, nifanyeje?.
Nawakilisha