Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Duh bro Jr. Mimi ni hupendelea kahawa sana sasa kuna tatizo shuguli zangu haziendi zimegoma kwa kipindi kirefu Hali imekuwa mbaya: kuna jamaa yangu ninae kaa nae kijiweni kanieleza hapa wamesha tuvuruga kisa wazee ni wengi wanao jihusisha na umamajusi, je unaweza. Nipa mwekekeo maana Hali imekuwa nzito mbele naona tambara jeusi amani hakuna.
 
Duh bro Jr. Mimi ni hupendelea kahawa sana sasa kuna tatizo shuguli zangu haziendi zimegoma kwa kipindi kirefu Hali imekuwa mbaya: kuna jamaa yangu ninae kaa nae kijiweni kanieleza hapa wamesha tuvuruga kisa wazee ni wengi wanao jihusisha na umamajusi, je unaweza. Nipa mwelekeo maana Hali imekuwa nzito mbele naona tambara jeusi amani hakuna.
 
Duh bro Jr. Mimi ni hupendelea kahawa sana sasa kuna tatizo shuguli zangu haziendi zimegoma kwa kipindi kirefu Hali imekuwa mbaya: kuna jamaa yangu ninae kaa nae kijiweni kanieleza hapa wamesha tuvuruga kisa wazee ni wengi wanao jihusisha na umamajusi, je unaweza. Nipa mwekekeo maana Hali imekuwa nzito mbele naona tambara jeusi amani hakuna.
Piga chumvi ya mawe tu utaona matokeo yake, ukisema nawe uende kwa fundi hutawaweza
 
Sina kiongozi wa kiimani, hilo litoe. It's just me...

Hao ninaowaheshimu ni swala la muda tu itajulikana, hakuna siri duniani..kumbuka!

Bottom line, sipendi ushirikina na siwapendi wanaojihusisha na hizi mambo!
Mimi nadhani katika vitu vinavyonivutia ushirikina ni kimojawapo, kuna mengi makubwa kwenye hii kaliba...! Kwa tafsiri yako hii mimi niko kwenye list yako
 
nilisimdikiza demu wangu kipindi fulani kwa mganga.

ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda.

tumefika kwa huyo mzee foleni ni kubwa watu ni wengi!demu wangu alikuwa kavaa suruali wamama wakamuwahi kumvalisha kanga huku wakilalamika!!
kwamba ukienda kwa BABU umevaa kihuni anaghadhibika hivyo watu wote siku hiyo hawatapewa tiba!hata ukienda umevaa KEPU ni shida.

kwa yule mzee haiingii mtu mmoja mmoja mnaingia hata 10 kwa mkupuo na kila mtu atasema shida zake hapo huku wengine mkisikia!!

ndani kuna vitu vya ajabu sana niliviona!
ukutani pamebandikwa picha za yesu huku pembeni AYA ZA QURANI na KAABA!
chini kumejaa vikaragosi na ngozi za wanyama ndio mnakalia!

kila mtu anaeleza shida yake kisha anaandikiwa kikaratasi cha dawa(prescription).

demu wangu yeye alikuwa amefata dawa ya biashara ili apate wateja!

mi nikaulizwa shida yangu nikawa najiuma uma!!nikajibu mi sina shida mzee....ALICHEKA SANA

akaniambia hamna binadamu hana shida duniani!akaniandikia maelekezo ya dawa nikatoka!pesa unaweka shulingi 200 kwenye kibuyu!yaani anasema yeye huwa hashiki pesa mkononi...

nikapewa madawa ya kuoga na kufkiza halafu ingine km mkaa najipaka muda nalala!!

acha kabisaaa usiku nilikuwa natokewa na vitu vya hatari na vya ajabu ajabu!nikasema hapana aseee!

nikatemana nazo hizo madawa!
ila sikuwa naamini mambo hayo lakini kwa mauza uza nilikuwa nayaona nikaanza kuamini labda huyu mzee anataka kuniletea shida sababu nilisema SINA..
uliona mauzauza gani usiku mkuu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
  • Uliwahi kurogwa?
  • Uliwahi kuroga?
  • Una chale mwilini?
  • Ulisimuliwa tuu?
  • Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka?
  • Ulishawahi kudalaliwa?
  • Ulishawahi kutapeliwa?
  • Una hirizi?
  • Ulishawahi kunyweshwa kombe?
  • Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini?
  • Ulishawahi kuvunja nazi njia panda?
Nknk

Uzoefu wako ni upi hasa...! FUNGUKAAA...!!! Dunia ya ushirikina ni pana sana... Na kama bado hujaishiriki basi kuna hiki chuo cha maisha hujafuzu! Sometimes ni muhimu kuroga japo kidogo tu ili uongeze cv yako...!
Nina chale mwilini
 
Back
Top Bottom