Uzoefu wa matumizi ya mpira katika sexual intercourse

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,951
2,461
Habari wana MMU husika na kichwa cha habari hapo juu hebu tupeane uzoefu maana nilikuwa nauliza hivi unapofanya mapenzi na MTU mwenye ukimwi lakini ukamuandaa vizuri na kutumia condom lakini kutokana na utelezi wa mwingi Mara paap ikachomoka je hapo kuna probability ya kuwa infected .wakuu
 
Ngoja waje ".... ila kwa ushauri tu'' kaanze dose ya PEP mapema
 
Sema mkuu una moyo mgumu balaa. Kama ulikua unajua kabisa ana ukimwi umepata wapi ujasiri wa kupiga?
 
Condom sio 100% effective kwenye kuzuia HIV na STD (Magonjwa ya zinaa). Uhakika wake kuzuia ni 85% tu, hio 15% unacheza mkeka (una beti).

Sasa hio 15% ya kubeti, jumlisha % ya soxi imechomoka au imepasuka = nenda kapime kama una roho.
 
Hivi condom inatokaje? Au unalala usingizi juu ya kiuno baada ya mshindo!!??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom