Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 851
- 1,142
Mi sijawahi sikia rocket kusafirisha watu kutoka nchi moja mpk nyingine, kwa ufahamu wangu rocket is just an engine ambayo inatumika kusaidia kusafirisha vyombo vya anga za juu, pia inaweza kuwekwa war head ambayo inabeba Mabomu ya nuclear au Atomic au silaha za maanganizi za Simu rocket ziko za masafa marefu, ya kati na mafupi! Mfano ni Raisi wa Korea Kim anavyorusha hizo rockets za majaribio. Pamoja na kutumia Newton 3rd law of motion pia Kuna physics ya trajectory au projectile motion.