koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,748
Tumesikia ktk kamati eti inatakiwa uzoefu ni upi hasa huo uzoefu inamaana mtu akiwa mwenyekiti abaki tu hata kwa miaka 20 bila kubadilishwa kumbukeni hata raisi kaanza kazi bila uzoefu huko katika kamati kuna kitu tu kimejificha hawa wanatetea uzoefu hasa ktk hizi kamati kama madini na nishati,maliasili,miundombinu,na kamati nyingine.ieleweke hizi kamati nyingine watu walishapata uzoefu wa jinsi ya kujipatia magumashi ni bora tuunge mkono baadhi wabadikishiwe hizo kamati ili tuende na mfumo wa mabadiliko