Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa madaktari wa jamii forums ,
Mimi ni kijana wa miaka 24 ninaishi katika mji wa ushirombo mkoani geita wilaya ya bukombe.
Ombi langu kubwa lililonileta humu kuhitaji ushauri wenu ni kwamba nina uzito wa hali ya juu (119 kg kwa sasa) ingawaje mwezi uliopita nilikuwa na uzito wa (115 kg) nilivyenda kupima jana nikagundua nimeongezeka kg 4 , ukweli nachukizwa sana na kuwa na kg nyingi kwa ufupi ninafanya mazoezi hasa ya mpira kila siku kwa siku 7 mfululizo ila nadhani kwenye diet ndio nakosea ningependa mnishauri nibalance vipi milo yangu ili niweze kupunguza mwili pamoja na uzito , NINATHAMINI SANA USHAURI WENU NA NITAUFANYIA KAZI.