Uzio wa ghorofa ya pili jengo la NHC waanguka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzio wa ghorofa ya pili jengo la NHC waanguka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwaroz, Oct 31, 2011.

 1. Kwaroz

  Kwaroz Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  katika mtaa wa indira gadhi hapa jijini dar ukingo wa kuzuia vitu vinavyoanguka toka ghorofani umeanguka na kuharibu gari nne ambazo ni aina ya tax kama dakika kumi zimepita. Chanzo cha uzio huo kuanguka inaonekana kwa haraka haraka ni kuchoka kwa mbao ambazo zimezidiwa uzito au kukaa kwa mbao hizo muda mrefu bila kubadilishwa. Katika jengo hili ambalo ground floor kuna biashara ambazo zilikuwa zinaendelea na mpaka naondoka hakuna majeruhi hata mmoja hila mlinzi wa sehemu hiyo ndiye alikuwa kwenye wakati mgumu baada ya kukimbia bila kujua anachokimbia. Nawasilisha
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani mi huwa nikiona haya majengo marefu yanajengwa hapa dar huwa napita mbali sana mana sina imani na chochote ktk nji hii....
   
 3. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  nani mjenzi? au ndo mambo ya 10% yanaanza kujionyesha onyesha
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hizo tax kwa nini zipaki hapo wakati wanaona kabisa ni sehemu ya hatari!
  kama kusoma hawawezi hata picha hawaoni?????
   
 5. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu, kwani wewe ni mgeni na inji hii???!
  Zunguukia sehemu kadhaa zilizoandikwa "ni marufuku kujisaidia hapa au hairuhusiwi kutupa takataka hapa" nk uone ni yapi yanayofanyika sehemu hizo...sasa kama jengo linaendelea kujengwa lakin chini shughuli nyingine za kibiashara zinaendelea kama kawaida, kwa nini hizo Tax nazo zisipaki??
   
Loading...