Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Kiwete ameomba sura yake iwe kwenye Noti za Million moja.
Niko bize kutengeneza mkokoteni wa kubebea hela nikienda shopping,tulikuwa tunaicheka Zimbabwe kiko wapi?si aheri ya Zimbabwe wao wana vikwazo na sisi je wenye amani,utulivu,midhahabu ,tutasingizia nini na huo mfumuko,muda si mrefu tutatembeza bakuli kwa RA na Mzee MamviWadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!
Wanataka waweze kutorosha amount kubwa za fedha kwa volume ndogo...nothing else!
Mwenye kufahamu hili jambo tafadhali ufafanuzi!
Wanataka waweze kutorosha amount kubwa za fedha kwa volume ndogo...nothing else!
this is nothing but INFLATION, na bado watz mtalia sana maana hali inazidi kuwa ngumu kila kukicha vitu vinapanda kama sky rocketing..
Sio leo kaka mtu, ni kesho Ijumaa. Nasikia wanatuletea noti ya 100,000 na pia itakuwa haina sign ya Mramba wala Balali . Hebu tusubiri tujione.
kaka mtu, mimi nitakuwepo hapo ukumbi wa BOT wakati wa uzinduzi wa hizo noti mpya utakaofanywa na gavana Ndulu.Wadau kuna tetesi kuwa leo BOT wanazindua noti mpya. Wenye data zaidi watujuze!