Uzinduzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Juu tarehe 21 Juni 2017 unaofanywa na Rais Magufuli

hakuna jipya ambalo tunaweza sema kafanya magufuli.

Mpaka sasa hakuna mradi wa maana aliouanzisha ambao una tija kwa taifa.

hongera kikwete
Aiseeeee. Huyu huyu Kikwete Mr Dhaifu leo tunamsifu? Naajini hata Magu hatakamikisha miradi yaje yote.
 
Heshima kwenu wakuu,

Leo Rais Magufuli yuko LIVE kwenye Uzinduzi wa Mtambo wa Maji Ruvu
 
Back
Top Bottom