Anderson Ndambo
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 152
- 207
Kwa wale mlio mbali na runinga, fuatilieni hapa moja kwa moja kwa hisani ya Global TV na TBC1
Kwa kweli kazi imefanyika. Hongera sana CCM. Sijui kama yule mzee wetu angeweza muziki huuGood job!
Bahati nzuri wote ni wana CCM. Wanapokezana vijiti. Sisituendelee kulia tuAnazingua miradi ya watangulizi wake
Aiseeeee. Huyu huyu Kikwete Mr Dhaifu leo tunamsifu? Naajini hata Magu hatakamikisha miradi yaje yote.hakuna jipya ambalo tunaweza sema kafanya magufuli.
Mpaka sasa hakuna mradi wa maana aliouanzisha ambao una tija kwa taifa.
hongera kikwete
Makamanda tu evurugwaAnajali vitu kuliko utu, hii ni hatari
Mbona anakataa waliyoyafanya wenzake kanakwamba hawakufanya kituBahati nzuri wote ni wana CCM. Wanapokezana vijiti. Sisituendelee kulia tu
Hatumtaka mzee awe rais ili afanye kazi, Tulimtaka awe rais ili tupate FURSA MADILI YETU yaende sawaKwa kweli kazi imefanyika. Hongera sana CCM. Sijui kama yule mzee wetu angeweza muziki huu
we huu mradi haukuhusu kwa sababu ni mpinzani! thats why hujapenda.Anazingua miradi ya watangulizi wake