Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

Bado sielewi kwanini vile vituo vimejengwa juu vile kama mabasi ndo haya, maana ile platform ipo almost katikati ya huo mlango.

Hayo mabasi yana milango pande zote mbili, hizo picha zilizowekwa humu hazijaonyesha upande mwengine.
Milango ya upande wa pili ndio imelingana na platform za vituo vya basi.
 

Attachments

  • Screenshot_2015-08-16-22-15-24.jpg
    Screenshot_2015-08-16-22-15-24.jpg
    157.4 KB · Views: 1,002
Kwani mradi ndo unaanza kufanya kazi au wamesema wanataka fanya majaribio,,,,,,, mana tusianze tuu na lawama na mineno mizitoooo
 
Barabara zenyewe mbovu hazina kiwango hakuna njia ya waenda kwa miguu hakuna njia za baiskeli hovyo hovyo tuuu kila kitu
 
Mhh hata kumaliza bado au ndo kampeni?
Hii kazi ya Abraham Sykes alilokua mayor ni initiative yake. Lakini anaweza hata asialikwe.
Na hivi vitu vya misaada si vya kujisifia. Na watwambie ni nani alieshinda tenda ya kuendesha huu mradi...isije kuwa ..kina wenyewe
 
Back
Top Bottom