Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Ni TBC live, mi nina swali 1 tu,hivi ile suti ya mzee wa uzinduzi ni ileile kila siku au ana nyingi za rangi moja?
Sorry sina access na Tv kwa
sasa!! Kama ni Muheshimiwa Waziri Mkubwa anafanya huu uzinduzi kuna kila
dalili za kuonyesha huyu bwana Mkubwa alifaa kuwa mkuu wa mkoa, Tena
mkoa wa nyumbani kwake na si vinginevyo!! Kwali TZ kila kitu
majaribio!!
ilikuwa ndani ya RUKWA,sasa imekamata Mpanda na kwa wakimbizi huko katumbaKuuliza si ujinga' hivi Katavi iko wapi?
ilikuwa ndani ya RUKWA,sasa imekamata Mpanda na kwa wakimbizi huko katumba
swali ambalo mimi najiuliza, huu uzinduzi utafanyika ktk mikoa yote mipya?
Kuuliza si ujinga' hivi Katavi iko wapi?
Ni TBC live, mi nina swali 1 tu,hivi ile suti ya mzee wa uzinduzi ni ileile kila siku au ana nyingi za rangi moja?
Hivi mbona SIMIYU,NJOMBE na GEITA haizinduliwi rasmi?By the way mbona mbon hii mikoa mingine mipya haipati Promo kama Katavi?Au mpaka nao wapate PM?
Kuuliza si ujinga' hivi Katavi iko wapi?
Umepata jibu?? Au bado una swali...??