Uzinduzi wa mkoa wa Katavi oyeee!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Ni TBC live, mi nina swali 1 tu,hivi ile suti ya mzee wa uzinduzi ni ileile kila siku au ana nyingi za rangi moja?
 
Sorry sina access na Tv kwa sasa!! Kama ni Muheshimiwa Waziri Mkubwa anafanya huu uzinduzi kuna kila dalili za kuonyesha huyu bwana Mkubwa alifaa kuwa mkuu wa mkoa, Tena mkoa wa nyumbani kwake na si vinginevyo!! Kwali TZ kila kitu majaribio!!
 
Sorry sina access na Tv kwa
sasa!! Kama ni Muheshimiwa Waziri Mkubwa anafanya huu uzinduzi kuna kila
dalili za kuonyesha huyu bwana Mkubwa alifaa kuwa mkuu wa mkoa, Tena
mkoa wa nyumbani kwake na si vinginevyo!! Kwali TZ kila kitu
majaribio!!

Hapana, anayezindu mgeni rasmi ni mwingine kabisa! ila na Pinda yupo namuona anaongea sasa!
 
swali ambalo mimi najiuliza, huu uzinduzi utafanyika ktk mikoa yote mipya?
 
ilikuwa ndani ya RUKWA,sasa imekamata Mpanda na kwa wakimbizi huko katumba

... Asante mkuu' inanibidi ni rudi shule kusoma geography. Ninawaonea huruma wanafunzi wetu wakati wa kujibu mitihani yao, mambo mengi mapya na kuna mabadiliko makubwa kwenye jiografia ya nchi yetu, lakini mfumo wa elimu bado wa kizamani.
 
swali ambalo mimi najiuliza, huu uzinduzi utafanyika ktk mikoa yote mipya?

mkuu' mimi ninaona niko nyuma ya wakati' mambo yanayotendeka serikali siyajui! kwani mikoa mpya iko mingapi mpaka sasa? najua MANYARA TU! baada ya mikoa 25 ya miaka nenda rudi?
 
baada ya uzinduzi makamu wa raisi anaelekea mtwara !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! huko mtwara safari hii watamalizana hawa viongozi na hii gesi!
 
Kuuliza si ujinga' hivi Katavi iko wapi?

Magharibi ya Tanzania. Inapakana na Mkoa wa Rukwa upande wa Kusini, Kaskazini inapakana na Kigoma, Kaskazini Mashariki inapakana na Tabora.Pia Kusini Mashariki ina pakana na Mbeya.
 
Nikiangalia TBC nahisi naisaliti nchi yangu na uzalendo wangu.
Naichukia kuliko/kama ninavyoichukia CCM,kwasababu wote nawahusisha na maovu haya.
1.Ujangili kwa Tembo wetu ili kupata Pembe za ndovu
2.Wizi wa rasilimali zetu -fedha zilizofichwa UUswis
3.EPA
4.Meremeta
5.Kagoda
6.Kiwira
7.Utoroshaji wa wanyama (Twiga) Hai
8.Buzwagi
9. Richmond/Dowans
NK.
So I HATE TBCCM



Ni TBC live, mi nina swali 1 tu,hivi ile suti ya mzee wa uzinduzi ni ileile kila siku au ana nyingi za rangi moja?
 
Kwani Tanganyika tunamikoa na wilaya ngapi mpaka saizi..na nilisikia kuna ramani mpya kwa ajili ya mikoa na wilaya mpya mwenye nayo atubandikie wakuu.!
 
Hivi mbona SIMIYU,NJOMBE na GEITA haizinduliwi rasmi?By the way mbona mbon hii mikoa mingine mipya haipati Promo kama Katavi?Au mpaka nao wapate PM?
 
Hivi mbona SIMIYU,NJOMBE na GEITA haizinduliwi rasmi?By the way mbona mbon hii mikoa mingine mipya haipati Promo kama Katavi?Au mpaka nao wapate PM?

Si nimesikia PM mpya anakuja toka Njombe au!?..Anaitwa Deo Firikunjombe.
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Jk]#Jk [/URL] anapenda umaarufu sana hivi kila raisi akiingia atakuwa anaunda mikoa mipya?

Wakati wa Julius nyerere hatukuigawa nchi yetu, hata wakati wa mwinyi, ila wakati wa Mkapa nakumbuka waligawa mkoa wa arusha na manyara,

[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Jk]#Jk [/URL] alivyoingia kaikata kata vipande vingi visivyo na tija,
kwenye jografi tulikuwa na mikoa 21 leo sijui imeongezeka mingine mi 3.

Kutafuta historia ili uonekane umetenda makuubwa haustahili,
kwenye katiba mpya upuuzi kama huu lazima ukatazwe!

Haiwezekani kila mkoa kulingana na mwingine!
Lazima mwingine uwe mdogo na mwingine uwe mkubwa.
Kwanza hakuna maendeleo yoyote hata mkigawa.
 
Uteketazaji wa mali ya umma unaendelea kwa kasi, ari na nguvu mpya! Very brutal by Magamba
 
#Zanzibar serikali ya ccm walifanya upuuzi huo huo leo hii jimbo moja la znz ni sawa na majimbo na mitaa 3 ya huku bara,

#Jimbo moja la bara ni sawa na majimbo ma tano ya zanzibar hii siyo haki!, na haya yalitokana na upuuzi tu wa ccm.
 
Umepata jibu?? Au bado una swali...??

nashukuru, sasa nimeelawa: Katavi, bado hiyo Simiyu, Geita ni ile kama ilivyokuwa Wilaya au ndiyo wameisha mega vipande kutoka Mwanza, Kagera na Shy?
 
Back
Top Bottom