Uzinduzi wa kitabu na semina holiday inn hotel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kitabu na semina holiday inn hotel

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mikono consult, Jul 30, 2012.

 1. M

  Mikono consult New Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjasiriamali Deogratius kilawe Wa MIKONO Business consult(C.E.O)atazindua kitabu chake pale Holiday inn hotel ikiambatana na semina inayokwenda kwa jina "TAMBUA FURSA ZILIZOPO TANZANIA ZA KUKUWEZESHA WEWE KUSTAWI"wageni waheshimiwa wafuatao watakuwepo kuwezesha:Balazo Dismass Nguma,Dr cnd Kassala,Rosemary mwakitwange na Christine John,Usikose Kiingilio ni Tsh 10,000.njoo utengeneze mtandao wa kibiashara na wafanyabiashara mashuhuri Tanzania ambao tumewaalika.
  Piga Simu namba kujiandikisha:0717109362
  VENUE:HOLIDAY INN HOTEL DSM
  TAREHE:5 AGUST
  MUDA :3PM TO 6PM
  View attachment 60311 :A S 465::A S 465:
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  we deo nyau bado tu unaganga njaa maana tumesha kushort list kwenye interview coasco,we si ndio bingwa wa kuwaambia vijana wenzio tujiajiri ,mbona bado unasaka vibarua vya 450000
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mkuu taratibu, Yaani jamaa ameitwa kwenye Interviu yenu?

  Mimi nasema na nitarudia kusema, Entreprenership Spirit Haipatikani mahali popote pale zaidi ya moyoni mwa mtu mwenyewe, Hakuna cha Vitabu wala Semina, Kama mtu hana Spirit ya Ujasiriamali hata ungempa Semina 1000 ni kazi bure,
  Kwenye vitabu ni theory zaidi kuliko uhalisia, na Ukiona trend ya watu walio jiingiza kwenye Ujasiriamali hakuna hata mmoja aliye soma vitabu thn ndo akaingia kwenye Ujasiriamali, wengi wamesukumwa na moyo wao zaidi kuingia katika ujasiriamali
   
 4. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  kweli kaka ,we angalia shortlist ya psrs coasco internal auditor utaona jina la mtunzi wa kitabu hiki ni mmoja wa interviewer alafu natoa tangazo kwenye fb kuwa atakuwa dodoma kufanya semina,but kitu cha kumshahuri bwana deo ni kwamba ajaribu kuyafanyia kazi yale aliyoandika ni mazuri kuyafanya siache wengine wa faidike na mawazo yake
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daaah jf ni noma...kweli usimwamini mtu?especialy wanaume wa bongo
   
 6. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuwa mtaalamu wa Ujasiriamali na kuwa mjasiriamali ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kocha wa Messi hachez mpira mzuri kama messi, yet ni mkufunzi wake!! Mara nyingi ugumu uko ktk ku-translate elimu ktk maisha. So mwacheni jamaa aelimishe watu hata kama yeye anasaka job Coasco.
   
 7. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  ndio maana tumemshauri asikate tamaa kuandika vitabu ili awape elimu watanzania wenzake ambao wanao hitaji kuwa wajasiliamali
  but mtunzi wa kitabu alikuwa best student ktk auditing and assuarance mzumbe universisty labda anataka kutumia taaluma yake kulitumikia taifa,ila asikate tamaa watu kama sisi wakuwakatisha wenzetu tamaa hua hatukosekani,mtusamehee sana
   
Loading...