Uzinduzi wa kazi ya utafutaji na uchimbaji wa gesi na mafuta asilia Zanzibar

Massivve

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
274
368
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kazi ya utafutaji na uchimbaji wa gesi na mafuta asilia Zanzibar.
 

Attachments

  • IMG_0931.JPG
    IMG_0931.JPG
    26.8 KB · Views: 38
Bora hiko kisiwa kipate mafuta yake yenyewe ili wajikomboe na vitisho vya ndugu zao wa Bara ambao kila kukicha wanatishia kuwakatia umeme....
 
Back
Top Bottom