Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kata ya Daraja Mbili - Arusha

Mkuu wangu chama,
Kwa wastani Chadema wanafanya mikutano Arusha kwa mwezi mara 20 kwa miezi sita wanafanya mikutano 120 wastani wa mkutano mmoja wanatumia milioni 30...kwa miezi 6 wanatumia zaidi ya milioni 300 ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.

Tatizo la pro-CCM bana; vyama vya upinzani visipofanya mikutano mnaviita vyama vya msimu! vikifanya mikutano napo tena nogwa! oooh! wanafanya mikutano mara 20 kwa wiki...! so what?
 
Namwona Ritz yuko hapa anauchungulia huu uzi kwa makini kwelikweli!!

Mkuu Soki, Siku zote niliamini kuwa Ritz ni zezeta lakini leo hii kachangia kuhusu uozo wa polisiccm hapa tz. nikagundua kuwa Ritz kama atafanikiwa kuvua Gamba anauwezekano wa kuwa Kichwa.
 
Lema:
eti wale watu walioua aremeru wametoroka, na bunduki imetelekezwa mtoni................ Hii ni vita tutatafuta haki mpaka ipatikane.
Kama walikuwa wamedhamiria kujilinda, wasingetelekeza bunduki.
Ni impression kwamba ile sinema ilifadhiliwa na mbunge moja wa magamba.
Mafisadi wengi tumewataja, tukamtaja fisadi namba moja aikuwa ni kikwete.
 
Lema anasema mpango wa kutorosha wauwaji umefadhiliwa na kigogo wa ccm kwani waliogopa wataanika ukweli wote kuwa walitumwa na ccm.
Anasema mtuhumiwa wa ufisadi wa kwanza ni JK.
Anasema chenge alituhumiwa ni fisadi lakini leo kashinda ujumbe wa nec na ni mmoja wa mwenyekiti wa kamati ya uchumi wa bunge.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lema:
hakuna chama kinachopigania maslahi ya watanzania kama chadema. Wabunge na viongozi wake hawapunziki, wanapigania haki na usawa wa mtanzania
kamanda mungi ninakuaminia ebu nipe majina ya makamanda walioko hapo?
 
Lema:
eti wale watu walioua aremeru wametoroka, na bunduki imetelekezwa mtoni................ Hii ni vita tutatafuta haki mpaka ipatikane.
Kama walikuwa wamedhamiria kujilinda, wasingetelekeza bunduki.
Ni impression kwamba ile sinema ilifadhiliwa na mbunge moja wa magamba.
Mafisadi wengi tumewataja, tukamtaja fisadi namba moja aikuwa ni kikwete.

Pamoja mkuu, kanyaga twende!
 
Lema anasema kuwa hatuwezi kuchagua watu kwa misingi ya dini.
Lema anazidi kulonga kuwa inakuwaje kuwa lipumba anakuja na watu kutoka dar alafu unawahutubia kama vile huwajui kuwa ni watu uliokuja nao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu wangu chama,
Kwa wastani Chadema wanafanya mikutano Arusha kwa mwezi mara 20 kwa miezi sita wanafanya mikutano 120 wastani wa mkutano mmoja wanatumia milioni 30...kwa miezi 6 wanatumia zaidi ya milioni 300 ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.

Kama unamwandikia Chama si um-PM, msitusumbue hapa
 
Lema anamtambulisha mzee moja alikua gamba na sasa amejiunga na makamanda

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
JF ni nchi nyingine. Mungi na Daudi Mutambuzi mkikutana endeleeni kutumia majina yenu haya ya hii nchi mpya ya Jamii Forum. Hongeni ma mods kwa ubunifu huu.
 
Lema:
nilipoluwa jela nilimkuta mzee mwenye umri wa 85 amhukumiwa kwa kesi ya kubaka.
Yule mzee akasema nilisingiziwa kesi kwa sababu nililazimishwa kuuza shamba nikakataa kuwauzia wakanisingizia kesi ya kubaka.
Yule mzee akasema usinihangaikie maana mi ntakufa keshokutwa, wahangaikie vijana wanaoonewa.
 
  • Thanks
Reactions: ral
Lema anamkabidhi mic mgombea aongee na wananchi na kushukuru kwa kumpa kura.
Lema anasema mnyonge moja akionewa ni sisi wote tumeonewa.
Anasema adui wetu ni ccm hao viherehere wengine ni wa kuwapuuza.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
JF ni nchi nyingine. Mungi na Daudi Mutambuzi mkikutana endeleeni kutumia majina yenu haya ya hii nchi mpya ya Jamii Forum. Hongeni ma mods kwa ubunifu huu.
Hapo umenena mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mzee aliyejivua gamba anasema kuwa hakuna maisha bora kwa ccm.
Anasema hatudanganyiki teena.
anasema kinachomuuma ni ccm wanaongea kama wanaongea na watoto katoa mfano wa wale makada wa ccm waliosema tumchague Sioyi kwa nia ya kumfuta machozi.
Anasema ccm wanatolewa na mungu mpaka wakiongea kwenye majukwaa wanaongea maneno yanayowaangusha wenyewe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kada moja maarufu aliyejivua gamba anamwaga sera.
Anasema hatudanganyiki tena.
Anasema ccm kwa kuwambia wananchi wa arumeru wamchague sioi ili tumfute machozi ni kutuona watanzania hatuna akili. Anapigilia msumari wa mwisho.
 
Back
Top Bottom