Uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA Jimbo la Ubungo

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Hii ndio hali halisi

FB_IMG_16000844761167000.jpeg
 
Hapo watu walikuwa hawana taarifa kuwa mbunge karudishwa arafu ni muda wa kazi huo mida ya jioni mbona kutakuwa na nyomi ya kutisha
 
Mtaa kwa mtaa,nyumba kwa nyumba,kitanda kwa kitanda,usitegemee nyomi kampeni za mtaa kwa mtaa ,ubungo ndio zao kama hawapo vile
 
Mkutano wenyewe umefanyikia kwenye makazi ya watu, sasa sijui ulitegemea hao watu wajitokeze kwa wingi wakakae wapi, hiyo ni kampeni ya nyumba kwa nyumba, tulia, huyo Jacob hilo jimbo anasubiri kuapishwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom