UZINDUZI WA JENGO LA EAST AFRICA COMMUNITY: KERO tupu ARUSHA BARABARA MUHIMU ZAFUNGWA.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,134
13,253
Hawa city fathers wamekuwa wanaleta usumbufu mara zote kunapokuwa na ugeni hapa jijini Arusha. Kero kubwa iliyonifanya niilete kero hii ni kuwa kila kunapokuwa na ugeni hapapitiki! Wamefunga barabara muhimu na kusababisha usumbufu usio wa lazima.
 
Hii ndio tanzania mkuu_watu wana makusudi sana,pole sana mkuu
 
Ahsante IGWE, ila imenibidi nikapaki gari nikakodi pikipiki unnecessarily![/QUOTE]

Pole mkuu,..si unajua hata huu usumbufu unaletwa na tanesco nao_mtu inabidi ununue jenereta unnecessarily...nchi ya hovyo sana hii mkuu
 
Hawa city fathers wamekuwa wanaleta usumbufu mara zote kunapokuwa na ugeni hapa jijini Arusha. Kero kubwa iliyonifanya niilete kero hii ni kuwa kila kunapokuwa na ugeni hapapitiki! Wamefunga barabara muhimu na kusababisha usumbufu usio wa lazima.
Itabidi mzoee tu kwani Dar mambo hayo ni kawaida kabisa!!
 
Back
Top Bottom