Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,135
- 13,254
Hawa city fathers wamekuwa wanaleta usumbufu mara zote kunapokuwa na ugeni hapa jijini Arusha. Kero kubwa iliyonifanya niilete kero hii ni kuwa kila kunapokuwa na ugeni hapapitiki! Wamefunga barabara muhimu na kusababisha usumbufu usio wa lazima.