Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Ilani ya ACT–Wazalendo, Kutoa Ajira mpya milioni 10. Zitto asema CCM ilitekeleza 31% ya ilani ya mwaka 2015


Aliyesema ana mpenda sana Lissu naye alijikwaa au ndiyo kuweweseka kwenyewe?

Wanaotaka kuombwa radhi kwa TBC kufukuzwa nao ni kujikwaa au nako kule kuweweseka?

Vipi yule anayotaka 2/3 ili serikali iwe inapotisha tu mambo? Anajua wabunge ni wa watu au waserikali?

Ila mwaka huu tutasikia hata mtu aki*amba.

Bottom line - bila kulaani enguaji enguaji na bila ya kutuambia nani walitaka kumwua Lissu, waliko Sanane, na angalau Azory, tuliko asije mtu au kidudu mtu kutuomba tumpe kura.
 
Membe angetafuta tu kazi nyingine ya kufanya, hizi siasa awaachie wengine.
 
Tatizo lako ni elimu yako ni ya kuungaunga; huelewi chochote kuhusu maendeleo yanavyopatikana.
Elewa hivi japo kiduchu; maendeleo hayaji usiku mmoja balli ni mipangilio na mikakati ya muda. Mfano, mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.

Rais wa Tanzania , Mhe. Dr. Magufuli na serikali yetu ya CCM tunaleta maendeleo kwa awamu mwisho wa awamu zote za serikali hii ya awamu ya Tano utajionea hatua ambayo nchi yetu itakuwa imepiga kimaendeleo.

Mfano, Jiulize na jieleweshe kwa mfano huu mdogo tu kuhusu maendeleo ya Chama cha Zitto - ACT WAZALENDO na hao CDM tangia vimeanzishwa ni kwa nini havijaweza kujenga ofisi za vyama vyao katika nchi nzima?.
Hiyo ni mifano rahisi sana kwako kuelewe kuwa ZITTO KABWE Z ni miongoni mwa watu wenye akili kidogo sana hajui alisemalo. Ikumbukwe kuwa Zitto ana shahada ya Uchumi kutoka chuo kikuu cha UDSM ila kama lakini kanuni ndogo tu ya maendeleo inamshinda basi bado wanasiasa wa upinzani walio wengi wanahitaji kuanza upya masomo ya Chekechea hadi vyuo vikuu ili kujifunza upya.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
Unapuyanga tuu sioni ukijibu hoja zaidi naona mtu anayetetea tumbo lake bila kujali magumu ya watz.
 
Brother bora umefunguka, Hatuwezi kuchukulia poa vitu hivi kwenye vitu vinavyohusu Taifa, Ni heri kwenda ukweni kutoa mahari na ukatereza ulimi kumtaja ex wako mieachana badala ya mke wako kuliko kufanya alichofanya huyu mzee,
Hahahaha!! Utazua sokomoko ukweni!
 
Unapuyanga tuu sioni ukijibu hoja zaidi naona mtu anayetetea tumbo lake bila kujali magumu ya watz.

Tambua hili, Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.

Kama huelewi, waulize wote wanaoelewa jambo hili.
 
Kawaida lkn wakuu. Huyu ni mwanaccm tangu utotoni. Kwahiyo si rahisi damu ya CCM kumtoka haraka.
 
Tambua hili, Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.

Kama huelewi, waulize wote wanaoelewa jambo hili.
Ni mgombea kwa sasa anaweza akakosa, inabidi mkubali tuu. Tunajua hamuwezi kwenda chooni akitoka kwenye kiti cha uraisi.
 
Back
Top Bottom