Uzinduzi wa CHADEMA Arumeru: Haijawahi kutokea - WAMERU wasema kesho watatoa UTABIRI WA NANI MSHINDI

- Mkutano kurushwa LIVE na STAR TV na pia kurushwa LIVE kupitia Internet CHADEMA TV (Online)
- Maandamano ya kufa mtu - Kutoka njia mbili: USA river na KIKATITI.
- HELCOPTER (CHOPPER) mwanzo mwisho
- WASHILI na WAZEE wote kuhudhuria na kumtamka rasmi mgombea wa CHADEMA Joshua Nassari kuwa ndio chaguo lao
- Hivi sasa Watu kutoka pande zote za jimbo la meru wanaanza kufika USA kwa ajili ya uzinduzi
- Wapiganaji kutoka Karatu, Longido, Moshi, dodoma, Zanzibar, DSM na maeneo mengine wameshafika na wengine kufika kesho kujiunga na kambi

Mheshiwa ni kesho au leo?
 
Habari zenu wana-JF,

katika kuonyesha chama cha chadema kimejipanga vyema kwenye kampeni za Arumeru Mashariki licha ya mipango mingine mingi kukaa vyema Uzinduzi wa kampeni utakao fanyika Usa river kwenye uwanja wa shule ya msingi Leganga utakaofanyika kesho(Tarehe 10-09-2012) utarushwa moja kwa moja na kituo cha startv cha mjini mwanza lengo kuu ni kuhakikisha watu wote waliko nje ya mikoa jilani na nje ya nchi wanapata kufatilia kampeni hizo...mkutano huo utakao tanguliwa na maandamano yatakao anzia Shangarai na mengine yakianzia KIA mpaka Leganga utaanza kurushwa hewani kuanzia saa tisa alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni...kwa wale milioko mbali au nje ya Tanzania au kwa wale ambao hawataweza kufika kwenye uziduzi huo tupieni macho kwenye kituo cha Star Tv.
Imethibitishwa na kampeni mejana Kamanda vicent Nyerere pamoja na mbunge mtalajiwa Joshua Nasari.


Na wasilisha

Ni saa ngapi hiyo kesho?
 
Imekaa njema ni mhimu watz wakaona kinachoendelea ARUMERU EAST ili changes itapakae haraka na kwa wakati.

VIVA MAKAMANDA HAKUNA KUFUMBA MACHO MTAKUTA MABOX YA KURA HAKUNA, KEEP YOU ARE EYES OPEN.
 
Hii haina kutabiri ni sawa na mtu kukuambia leo kutakuwa na usiku na giza litaingia nikimaanisha haina mpinzani cdm wamelichukua kilaini kabisa hilo jimbo
 
kweli kwa kuhamasisha hamjambo, hapa hata mimi nawasifu. ila hili la kubeba watu na malori kutoka mikoa yote, hakuna tofauti ccm.
 
Tanesco mpo!! play your part yasije wakuta yaliyomkuta Tido Mhando
It's too late, kila kitu kimekamilika kuhakisha kuwa mkutano na maandamano yatafanyika kwa amani. EVERYTHING IS UNDER CONTROL. Kama ulikuwa na mpango wa kuwapigia TANESCO ili umeme usiwepo, tupo full. Imekula kwakooooooooooooo..........!!!!!!!!!!1
 
Chadema mmeanza tambo zenu. Hatutaki kusikia mambo ya kuchakachuliwa mbele ya safari. Badala ya kujipanga kusimamia na kulinda kura zenu nyie mnakazana kushabikia umati wa watu.

sisi tunashabikia umati nyie mnashadidia wizi wa kura
 
Majivuno haya hata Igunga ilikuwa hivi hivi.Tusubiri tuone usihesabu vifaranga kabla ya kutotolewa Mkuu!!
Tunajua magamba mnajivunia tume yenu na mkurugenzi wa halmashauri ni rangi ya kijani (hata kama hapendi). Let me ask you magamba, kuna nini mnachopigania sasa hamkukifanya past fifty years?
 
Back
Top Bottom