Uzinduzi uzinduzi uzinduzi

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,461
uzinduzi wa

tunawakaribisha
katika uzinduzi wa album mpya ya
'wokovu wetu u tayari
ya cornerstone gospel singers
ambayo itafanyika siku ya jumapili
kuanzia saa 8 mchana na kuendelea
katika kanisa la kijitonyama tag

nyote mnakaribiswa

kwa mawasiliano:
cell: 0784 960517



 
uzinduzi wa

tunawakaribisha
katika uzinduzi wa album mpya ya
'wokovu wetu u tayari
ya cornerstone gospel singers
ambayo itafanyika siku ya jumapili
kuanzia saa 8 mchana na kuendelea
katika kanisa la kijitonyama tag

nyote mnakaribiswa

kwa mawasiliano:
cell: 0784 960517





Kumbe uzinduzi umenipita?????????
 
ndugu yangu ulikuwa katika jembe nini umeshakupita ila njoo ununue toleo jipya la album yetu utaniambia lini utakuja dar au upo dar? pole sana mpendwa kwa kupitwa na uzinduzi ila tunafunction ingine tunandaa december ya dinner nahisi nitakukaribisha nawe
 
Back
Top Bottom