Uzinduzi kampeni CCM kata ya Kigamboni

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
145
Huu mkutano wa uzinduzi kampeni kata ya KIGAMBONI
 

Attachments

 • 1417612952604.jpg
  1417612952604.jpg
  54.7 KB · Views: 788
 • 1417612967249.jpg
  1417612967249.jpg
  52.3 KB · Views: 609
 • 1417612982567.jpg
  1417612982567.jpg
  85.6 KB · Views: 557
 • 1417613001492.jpg
  1417613001492.jpg
  66.3 KB · Views: 552
Hahahaaa yaani wakuu ni kwa vile natumia mchina,ningebandika picha za uzinduzi wa mkutano wa magamba tabata kimanga stand ni aibu,utafikiri ni kikao cha ukoo!!!!
 
Mkutano ndio unaendelea asilimia 70 ya waliohudhuria ni wanafunzi wa shule ya msingi maana unafanyikia pembeni ya shule, wamerudi baada ya kwenda nyumbani kubadili uniform, asilimia 20 makada wenye nafasi ndani ya chama, asilimia 10 majirani wa eneo unapofanyikia mkutano
 
Sababu kuu ni mbili: 1.ESCROW 2.MGAWANYIKO CCM KATA YA KIGAMBONI ,Kuna CCM UKAWA NA CCM MAKADA
 
Mhuu....hawa watani zangu wamechokwa !!!? kama Dar kwenye watu wengi hali ni hii....Loh poleni sana
 
Back
Top Bottom