Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

alvinroley

Member
Sep 30, 2016
71
251
Kesho Mh Rais atakuwa mgeni rasmi uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara za juu (flyovers) pale Ubungo mataa.

Mkuu wa mkoa atakuwepo pia kama mwenyeji wa Rais.

Je, hotuba ya Mh Rais itamtumbua mkuu wa mkoa? Au ndio mtabaki na labda?
 
Nashauri viongozi wa chadema waonyeshe ishara yoyote ile ya kutofurahia,lakini wahakikishe ishara hiyo inaonekana kwenye vyombo vya habari,waandishi na wananchi

Wawepo na waonyeshe ishara hiyo

Meya akihutubia agusie umuhimu wa elimu
 
kwa jinsi inavyoonekana mkuu hawezi kufanya hivyo maana itakuwa ni kama kuwapa ushidi baadhi ya watu. atapotezea kuacha movie iendelee. mkuu huoni hapa iliopofikia imenoga? tusubiri tuone majibu ya Bashite katika tuhuma zote hasa hizi za kuvamia pale mawingu
 
Je ataambatana na Makonda kwenye hiyo hafla?

Ubungo ni chadema,je watamzomea jukwaani na wataenda na mabango?
Nimewaza kama wewe. Watu waende na mabango 'Mkuu wa Mkoa wa Dar atumbuliwe ni mhalifu' Lingine lisomeke hivi ' Jeshi la Polisi Dar lisafishwe' lingine hivi ' Mkuu wa Dar Daudi Bashite aka Christian Makonda jiuzulu' n.k
 
Atumbuliwe asitumbuliwe wewe inakusaidia nn? .. waacheni wakuu wetu wafanye kazi na wakibaini chochote kibaya watatujulisha.. mbona siku zingine huwa hatumlazimishi kutumbua?
Alichofanya kwa William kabwe na afanye kwa Bashite hiyo kesho. Over
 
Back
Top Bottom