Akikujibu usisahau kushareMleta mada tuanzie kwako. Wewe umetoa ngapi..
bado sijatoa hata moja .
mzee uko vizuri, alafu hukumtemaMoja tu. Na ndo niliyenae mpaka leo. Tulikuwa yynapendana sana lakini kila nilipokuwa nagusia suala la kufanya mapenzi mimi na yeye alikuwa akikasirika na muda mwingine kunitenga kabisa. Nilidumu nae kwa mda wa miezi nane bila kufanya nae mapenzi. Na hii ni kwasababu nilimpenda sana na ndo mana niliweza kumvumilia kwa muda wote huo. Xmas ya mwaka 2016 sitaisahau maana mtoto alijichanganya kwa kujileta mwenyewe kikaangono. Kwa muda wote niliokuwa nae kabla kwenye mahusiano sikuwahi kujua kama alikuwa bikra mpaka siku hiyo ndo nilijionea mwenyewe.
Naomba nikutunuku mkuu