Uzi wa walioumiza watu kimapenzi

😂😂😂😂😂😂waliojaliwa na kupewa utamuuuu woteeeeeee

Wewe ndiyo sikuwezi kabisaaaaaaa

Yani unapitaga kimya kimya unachek ndege wanavyonishambulia alafu hawana soko ndege walaaa vinyesii hallllooooh
Watapata tabu sanaaaaaaaaaa
Demiss mwenye tamuuuuuuuu yakeeee
 
1.Jaman Yohhana mwanajeshi nahisi Karma yako kwangu inafanya kazi

2.Edwin poleee sana

3.Mwanajf fulan pole endelea kuniponda kwenye comment nishakuacha

4.Amossy

5.Kareem

6.Solomon

7.Emaa boy

8.John

9. COUNSELLOR......

10.Angelo..

Duhh nimechoka hakika nimechoka kuwataja
Mungu anakuona
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom