Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,276
- 9,912
Group wakomangi
Wachanga Wanaoenda Moshi
Wachanga Wanaoenda Moshi
Mimi nimepata njaa ya kisusio na mchemsho wa supu ya mbuzi mchanganyiko na mapoko aisee! Hiyo kitu weka mbali na watu!Nimepata Kiu ya Mbege ghafla mwanama!
Pale Rock Hill patamu kama mcharooooAsprin na Behaviourist hapa. Nitapika maandazi na kuku wa kukaanga. Korogwe tunasimama party inaanza