Uzi wa vyakula tu

Sio siri napenda kula vizuri kwa kweli naomba Mungu anijaalie niwe nakipato cha haja na nipate mke ambaye anajua kukarangiza niwe na kula mpaka niote kakitambi flani hivii cha kuridhiika
Screenshots_2022-12-08-18-04-14.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom