Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,575
- 225,167
Huyu samaki gani?
KambaleHuyu samaki gani?
Nimetaman
Aah hapa fish & chips ya mchongo hii mshana,
Dah, vitu vya pwani hivi Haki ya Mungu ni kijisonsomola tu.
Mshana eeeh,,,,,
duh! Asante kwa taarifa.Hahahah ndio maana kiko huku
Hapa inabidi ugali tuongezee yaani mboga zimetulia
Asante mkuuKaribuni chai na mhogo wa kuchemshaView attachment 2402658