HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
Tamuu🥰Zinavutia kweli 😋
Walaji tupo, lete mwalikoTamuu🥰
Napenda kupika chapati ila nyumbani sina wadau wa kula.
Karibu mkuu.Walaji tupo, lete mwaliko
Mimi nikiwa Mgeni wako wiki moja ikipita mwenyewe utachoka kupika.Karibu mkuu.
Siku hizi nimejikuta hata sipiki sana maana walaji hakuna.
Nikipata walaji walah hata kila siku naweza kupika.
Chapati huwa sichoki kupika 😂😂😂Mimi nikiwa Mgeni wako wiki moja ikipita mwenyewe utachoka kupika.
Kwenye idara hii ya Maakuli nipo vizuri najifahamu, Mshipa wa Kula nnao
Mimi nikipika siwezi kula et labda nipikiweTamuu🥰
Napenda kupika chapati ila nyumbani sina wadau wa kula.
Chakula Cha kupikiwa huwa kitamu always.Mimi nikipika siwezi kula et labda nipikiwe
Itabidi niwe mgeni wako 🥰
Pemba Peremba... Ukija na joho utarudi na kilemba View attachment 2233491
Waaah! Chakula nikipendacho
Binti utakufa vibaya....