Nakaziawtf is problem with you?
hizo mada zako peleka jukwaa la afya we fala hapa ni misosi tu.
Mkuu umetisha Sana, hizi menu unapiga mgahawa gani? Tupe location...
Mbona kwale huyu mkubwa sana..!?Ugali na kwareView attachment 2095215
"Rolex", nimekumbuka mbali sana. Hii combination ni kali sanaSimple hadi raha. Ningefanya rolex hiyo chapati na mayai