Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Umeutingishs utumbo wanguUgali dagaa wa naziView attachment 2032508
Sipati picha ya end product ya hii mix
Rafiki tumbo la ugali kwa kitimoto cha Tekenya haliwezi kutikiswa na ugali dagaa.Umeutingishs utumbo wangu
Unatumia avatar yangu bila ruhusa yangu.Nami nianze kutumia ya kwako?
Ua missed
Aisee wewe jamaa wewe!
Chief samahani, unapatikana wapi nije kukutembelea?!
Nipo Zanzibar kulipiza kisasi👇😁😁😁Yangu ina haki na hati miliki yako haina..
Rafiki ugali dagaa ni kati ya vyakula napenda sanaRafiki tumbo la ugali kwa kitimoto cha Tekenya haliwezi kutikiswa na ugali dagaa.
Haya rafiki.Niliona picha yako kumbe ni pisi kali,halafu humble mwenye roho yake nzuri🙈🙈🙈Rafiki ugali dagaa ni kati ya vyakula napenda sana
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Uliiona wapi rafiki? Hakuna pisi kali yenye kitambi rafiki, itakua uliyoiona sio picha yanguHaya rafiki.Niliona picha yako kumbe ni pisi kali